HIVI HAYA MADUDE BADO YAPO ??

HIVI HAYA MADUDE BADO YAPO ??

View attachment 1061349

View attachment 1061349

Aisee hili dude nakumbuka mdogo wangu wa kike alikuwaga nalo na muda wote alikuwa analicheza muda wote yani. Lilikuwa linanikera na makelele yake, unakuta umelala usiku au unatafuta usingizi unasikia chumba cha pili, byu, byu, pyu. Kuna mhuni akapita nalo akaenda kuuza kwe wenzake huko shuleni, nilifurahi sana.
Siku hizi lipo hadi kwenye android

""...IF PIANO IS OUT OF TUNE, THE MUSICIAN WILL FAIL, NO MATTER HOW MUCH OF A MUSICIAN HE MAY BE...""
 
Daby nikumbushe jina lake...
Ungesema mdako, bao, au rede sawa.
+ gari la kamba, kamba za majani fulani yanatambaa,

""...IF PIANO IS OUT OF TUNE, THE MUSICIAN WILL FAIL, NO MATTER HOW MUCH OF A MUSICIAN HE MAY BE...""
 
Acha niulizie. ...hapo umenipoteza kusema ukweli
Kuna majani fulani yanatambaa, na kutengeneza kamba kamba,. Sasa zile kamba zinang'olewa, zinaungwa mwanzo na mwisho... Mnaaingia katikati ya kamba mkiwa mmejipanga kama foleni ya TRA, wa mbele ndio dereva... Anayeendesha gari... Hapo vipi

""...IF PIANO IS OUT OF TUNE, THE MUSICIAN WILL FAIL, NO MATTER HOW MUCH OF A MUSICIAN HE MAY BE...""
 
Sijapitia hiyo. ..ndio naisikia kwako. ...
Asante sana kwa ufafanuzi .
Kuna majani fulani yanatambaa, na kutengeneza kamba kamba,. Sasa zile kamba zinang'olewa, zinaungwa mwanzo na mwisho... Mnaaingia katikati ya kamba mkiwa mmejipanga kama foleni ya TRA, wa mbele ndio dereva... Anayeendesha gari... Hapo vipi

""...IF PIANO IS OUT OF TUNE, THE MUSICIAN WILL FAIL, NO MATTER HOW MUCH OF A MUSICIAN HE MAY BE...""
 
Usinipe pole. Mchumba naye tatizo. Mpaka amalize internship dah....sjui nifosi tu. Nadhani mi na umri wa huyo sister wako sababu ningekuwa mwanamke ningwkuwa tayari nina ndoa.
Sent using my Nokia Torch
Hiiiiiiiii Mzee huyu binti ni mkubwa kwako.
 
View attachment 1061349

View attachment 1061349

Aisee hili dude nakumbuka mdogo wangu wa kike alikuwaga nalo na muda wote alikuwa analicheza muda wote yani. Lilikuwa linanikera na makelele yake, unakuta umelala usiku au unatafuta usingizi unasikia chumba cha pili, byu, byu, pyu. Kuna mhuni akapita nalo akaenda kuuza kwe wenzake huko shuleni, nilifurahi sana.
Hayo yapo boss juzikati nilienda dar kuona familia kijana wangu wa darasa 4 nilimuona analitumia hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom