MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
- Thread starter
- #21
Aiseee,....Bado yapo mkuu ningendako analo lake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseee,....Bado yapo mkuu ningendako analo lake
Konzi moja au mawili, yanasaidia kutoa hiyo addiction.yanafanya mtu unakuwa addicted
uwii makonzi yanauma jmnKonzi moja au mawili, yanasaidia kutoa hiyo addiction.
Yalisaidia sana hadi leo ni mama mwenye familia na kazi yake nzuri.uwii makonzi yanauma jmn
😂😂😂😂😂 hongera zake na hongera zako piaYalisaidia sana hadi leo ni mama mwenye familia na kazi yake nzuri.
yapo tuView attachment 1061349
View attachment 1061349
Aisee hili dude nakumbuka mdogo wangu wa kike alikuwaga nalo na muda wote alikuwa analicheza muda wote yani. Lilikuwa linanikera na makelele yake, unakuta umelala usiku au unatafuta usingizi unasikia chumba cha pili, byu, byu, pyu. Kuna mhuni akapita nalo akaenda kuuza kwe wenzake huko shuleni, nilifurahi sana.
Siku hizi lipo hadi kwenye androidView attachment 1061349
View attachment 1061349
Aisee hili dude nakumbuka mdogo wangu wa kike alikuwaga nalo na muda wote alikuwa analicheza muda wote yani. Lilikuwa linanikera na makelele yake, unakuta umelala usiku au unatafuta usingizi unasikia chumba cha pili, byu, byu, pyu. Kuna mhuni akapita nalo akaenda kuuza kwe wenzake huko shuleni, nilifurahi sana.
+ gari la kamba, kamba za majani fulani yanatambaa,
""...IF PIANO IS OUT OF TUNE, THE MUSICIAN WILL FAIL, NO MATTER HOW MUCH OF A MUSICIAN HE MAY BE...""
Witty umeazaliwa lini?
Kuna majani fulani yanatambaa, na kutengeneza kamba kamba,. Sasa zile kamba zinang'olewa, zinaungwa mwanzo na mwisho... Mnaaingia katikati ya kamba mkiwa mmejipanga kama foleni ya TRA, wa mbele ndio dereva... Anayeendesha gari... Hapo vipiAcha niulizie. ...hapo umenipoteza kusema ukweli
Kuna majani fulani yanatambaa, na kutengeneza kamba kamba,. Sasa zile kamba zinang'olewa, zinaungwa mwanzo na mwisho... Mnaaingia katikati ya kamba mkiwa mmejipanga kama foleni ya TRA, wa mbele ndio dereva... Anayeendesha gari... Hapo vipi
""...IF PIANO IS OUT OF TUNE, THE MUSICIAN WILL FAIL, NO MATTER HOW MUCH OF A MUSICIAN HE MAY BE...""
Pole sana mkuuTamu sana hilo. Cha ajabu mpaka sasa hivi sijaowa.
Sent using my Nokia Torch
Usinipe pole. Mchumba naye tatizo. Mpaka amalize internship dah....sjui nifosi tu. Nadhani mi na umri wa huyo sister wako sababu ningekuwa mwanamke ningwkuwa tayari nina ndoa.Pole sana mkuu
Hiiiiiiiii Mzee huyu binti ni mkubwa kwako.Usinipe pole. Mchumba naye tatizo. Mpaka amalize internship dah....sjui nifosi tu. Nadhani mi na umri wa huyo sister wako sababu ningekuwa mwanamke ningwkuwa tayari nina ndoa.
Sent using my Nokia Torch
Daah...!View attachment 1061349
View attachment 1061349
Aisee hili dude nakumbuka mdogo wangu wa kike alikuwaga nalo na muda wote alikuwa analicheza muda wote yani. Lilikuwa linanikera na makelele yake, unakuta umelala usiku au unatafuta usingizi unasikia chumba cha pili, byu, byu, pyu. Kuna mhuni akapita nalo akaenda kuuza kwe wenzake huko shuleni, nilifurahi sana.
Ana umri gani? I'll turn 31 in May.Hiiiiiiiii Mzee huyu binti ni mkubwa kwako.
Hayo yapo boss juzikati nilienda dar kuona familia kijana wangu wa darasa 4 nilimuona analitumia hiloView attachment 1061349