Hivi haya mambo ni kweli? Hadi naogopa jamani

🀣🀣🀣🀣
 
Kariakoo ndio sehemu ninayoweza kuamini pale sio wote ni binadamu.
 
Ila alikusaidia kuweka vitamin vya apple mwilini mwako etπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Juzi usiku nimeshtuka mida ya saa 6 hivi nikahisi kama kuna mtu anatembea sebuleni halfu akaingia hadi chumbani,kila nikitaka kuamka kwenda kuangalia kuna kama nguvu inanikandamiza nibakie hapo hapo kitandani ....baada kama ya dakika 10 hivi nikafanikiwa kuamka kwenda kuangalia nikachungulia nje HAMNA CHOCHOTE nikarudi kulala....
NIkasali then nikarudi kulala
NAJUA USHIRIKINA UPO ila huwa siamini na siwaogopi
MUDA MWINGINE MAWENGE TU HALFU TUNASEMA ETI WACHAWI WALIKUJA USKU
HAMNA CHOCHOTE
 
Kula bia, Maisha mafupi haya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…