Hivi haya mambo ni kweli? Hadi naogopa jamani

Wewe bwana ebu kwanza acha nicheke πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ yaani unakubali mwenyewe alafu unakata mwenyewe,huelewek kama unataka nini unaulizwa una njaa unajibu ndio πŸ˜‚πŸ˜‚ unaulizwa Tena umeshiba unajibu ndio πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ MAnyuziiiiiiiiiiiiiii πŸ˜‚πŸ˜‚πŸƒπŸΎβ€β™‚οΈπŸƒπŸΎβ€β™‚οΈ
 
Anakataa ukweli kwa kujifariji kuwa ni ndoto tu 😁😁😁
 
Anatakiwa akulipe gharama zako mkuu
 
Nime-observe tu.

Kuna kitu hakiko sawa kwa watu wengi ninaowaona mitaani na barabarani!

Wengi wako kama manyumbu fulani hivi!

Anyway....
Na kuna wale ambao wapo na chuki na makasiriko muda wote. Unakuta mtu anakichukia pasipo sababu. Akijua mpango wako anakuja akupe support halafu support yenyewe inakua ya kukupoteza kabisa. Ukijua kua anakupoteza, ukatafuta njia sahihi, hata simu yako hapkei tena. Ananuna
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ inashangaza sana....

Wengine labda mashetani waliovaa mwili kama KIINI MACHO tu.....

Ukimfuatilia vizuri uone anaishi wapi utagundua hana hata makazi, anazuga zuga anapotelea mitini, kesho tena yumo!
 
Atleast ulifaidi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…