Hivi haya mambo ni kweli? Hadi naogopa jamani

Wewe hapo utakuwa mpotoshaji lazima

Hasa io ya mwisho
 
Hahaha sielewekagi kama Mwanamke malaya haeleweki anataka six cars au six pack
Ushirikina upo ila siuamini na sijawahi kuogopa
 
Wewe ni Mzuka mbona unabisha bila reasoning.
Hakuna chochote, ni kutishana tu; nimekesha sana nikiwa nje kwa muda mrefu, nimetazama vioo usiku wa manane kwa muda mrefu; hakuna chochote ni kutishana.
Watu wanacheza na akili za watu tu.​
 
Ukihisi kuna mzuka popote, ujue ni mimi.
 
Hahaha sielewekagi kama Mwanamke malaya haeleweki anataka six cars au six pack
Ushirikina upo ila siuamini na sijawahi kuogopa

Una Manisha hawa mkuuπŸ€·πŸ½β€β™‚οΈπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hizi ni fikra za babu zetu, ambao hawakuamini kufa kwa ugonjwa bali waliamini mtu akifa karogwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…