To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Kabisa,aachane na Mambo za kuzingatia...atembeze tuMiaka 20 hatakiwi kutafuta future wife,,,atembeze mjurubeng mwanzo mwisho.
NB:Kaandika ujinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa,aachane na Mambo za kuzingatia...atembeze tuMiaka 20 hatakiwi kutafuta future wife,,,atembeze mjurubeng mwanzo mwisho.
NB:Kaandika ujinga
Vipi mkuu ushapata mke 😹😹
Unajua shida imeanzia apo kwenye miaka 20😂😂😂dogo anaomba ushauri mabroo wanamfokea kuhusu uandishi wake aiseh noma sana
Nb: Tafuta maisha kwanza kijana hayo mapenzi yapo tu
Kwan huwez shaul bila kutukana? Wengine na watu wa munguLook at this simp. Mapenzi! Mapenzi! Mapenzi! Mapenzi maana yake nini? Sikia wewe, acha uboya. Mapenzi hayana faida zaidi ya kukupotezea muda. Alafu hakuna kitu kinaitwa mapenzi bali ni obsession beneficiary to women.
Hivyo visichana/videmu hutakiwi uviache vikuzoee, vikikuzoea vinakuchukulia poa na boya, ni kutumia nguvu na kuvilazimisha ndivyo vinavyotaka. Kama hakitaki unakipotezea. Kazi yako ni moja tu, unapiga alafu unapotea na kupotezea.
Baada ya hapo vitakuganda sababu hawana kipya tena, na hapo ndipo utaamua uendelee kukafumua au unakaghostia mbali. Baada ya hapo utavipanga kutoka Dodoma mpaka Dar.
Eti "Nampa anachotaka" hahaha! Wewe jamaa mjinga kinyama. Hutakiwi kutoa chochote kama yeye hajatoa chochote unless unanunua some expensive bitch online.
Mapenzi waachie wenye ndoa na ngo'ombe.
Hahaha!!! Watu wa mungu? Wewe umeona wapi mtu wa mungu anahangaika kufunua vyupi huku na kule mpaka kwenda na kuandika thread ndefu kuhusu harakati zake za kuvua vyupi?Kwan huwez shaul bila kutukana? Wengine na watu wa mungu
😂😂😂Hahaha!!! Watu wa mungu? Wewe umeona wapi mtu wa mungu anahangaika kufunua vyupi huku na kule mpaka kwenda na kuandika thread ndefu kuhusu harakati zake za kuvua vyupi?
Now, nimeelewa. Wewe ni mlokole simpy nice guy. That's why hivyo visichana vinakupuuzia. Kama wewe ni mtu wa mungu basi hutakiwi kulia wala kuteseka ukikosa kuvuta kiuno.
Unatakiwa uende nyumba ya ibada, upige magoti na uchekelee kwamba Mungu wako amekuonyesha njia sahihi.
Mtoto wa miaka 20 analia Lia tu kisa vi UTI na gono anavyovihonga haviachi lango wazi. Vikila sukari zake za dukani vinamkimbia, anavihonga Malinyi anaviokotea vishafika MtimbiraAliyefanikiwa kusoma hilo gazeti naomba anipe summary please.
Aise nimecheka mpaka mate yamerukia keyboard😳Sijaelewa!? Yaan kwa umri huo ushaanza? Na unataka ufurahie!? Huo umri wenzio wapo busy na nyeto na masomo au nyeto na kibiashara kidogodogo
Vitoto vya 2000 vina shida sana kwa kuendekeza mapenzi.Mimi ni kijana mwenye miaka 20 toka nizaliwe sijawahi kuyafurahia mapenz ngoja niwape historia yangu kidogo kwenye mapenz mwaka 2019 nilienda kufanya kazi kwa kaka yangu Morogoro wilaya ya Malinyi pale dukan tulikuwa wafanyakaz watatu halafu wote ndugu katika wote mi ndo nilikuwa mdogo japo mi ndo nilikuwa kiongozi wao
Tukaendelea kufanya kazi kuna bint mmoja nitamuita rehema(sio jina lake) alikuwa mteja pale dukan wale ndugu zangu wawil mmoja nitamuita zakayo mwingine John mi nitajiita Steve kwa upande wangu nilikuwa mpole Sana yule Rehema alizoeana Sana na zakayo Mimi na zakayo tulikuwa tunaelewana Sana yule rehema akawa anamwambia zakayo kuwa ananipenda zakayo nae akawa ananiambia siku zikazid kwema rehema akawa ananizoea taratibu ikafika kipindi Rehema akawa ananifuata Kila siku dukan il tuongozane wote maana tulikuwa majilani siku zikasonga jamaa zangu wakanishaul nimtongoze kwel nikamtongoza ilikuwa Kama nimemchelewesha na ndo alikuwa msichana wakwanza kutongoza.
Nilimpatia Kila alicho kitaka zilipita Kama wiki mbil nikamuomba game akanambia tarehe flani tukutane nyumbani kwao kulikuwa na sherehe baada ya kufika mda tuliopanga nikawa nampigia sim hapatikani nikaamua mimtimbie hukohuko maana nilikuwa na upwilu Sana japo nilikuwa sijui nitamfanya fanyaje ila niliamin naweza baada ya kufika kwao milimkuta anacheza kaloa jasho mwili mzima nilipo muuliza kwanin ulizima sim akasema iliisha chaji
Nikamuuliza mbona umelowa jasho akasema kazuiliwa kukaa bila kucheza ikabidi siku hiyo tuhairishe ikawa kila nikimwomba anakuwa na visingizio vingi baada ya wiki moja akanambia anasafil kwenda ifakala atakaa wiki mbil sikuwa na namna Zilipita wiki mbili hata hakuja nikazoea kuwa nimempoteza baada ya Kama miezi sita nikakutama na msichana mmoja anaitwa Sarah (jina halisi) Sarah alikuwa mtoto wa getkal alikuwa amakaa kwa shemeji yake (mme wa dada yake) nilisota Sana kupata namba yake kunajamaa alikuwa anafahamiana na Sarah yeye ndo alinipatia namba ya Sarah kwa kumpa pesa nilianza kumtongoza haikupita hata wik akanikubali nikawa nampa anachotaka tukazoeana ikawa kila nikimwomba penz visingizio vingi baada ya Kama mwez nikapoteza sim namba yake nikawa Sina baada ya kurinew lain nikasubil pengine atanipigia Wala hakunipigia
Nikajiuliza inamaana hanipend hata kidogo niliumia mno na sikujua nitampata wapi mungu si asuman siku moja nilikutana nae njian nilidhan ataniomba msamaha lakin hakuonekana kujal ikabidi Mimi ndo nijitetee nikamwelewesha hakutaka kunielewa akidai huwa ninamtafutaga nikiwa na haja zangu toka hapo hakunielewa tena tukawa tumeishia hapo nikakaa kama mwaka mmoja itaendelea.....
Sio 2000 ni 2004Vitoto vya elfu 2 ni vya hovyo sana.
Dah nacheka Kama mazuri Ila majaribu kuwaza unakuta haka ndiyo katoto kangu kana akili za hivi ,haki nitakauwaNimecheka sana hapo alipowapa majina hao ndgu zake Zakayo na John bila kujisahau na yeye akajipa nickname ya Steve 😂😂.
Jf ni anonymous kwa jina fake, akajipa jina fake jingine ndani ya story ambalo wala hajaliumia popote.