Hivi haya tunayoyasikia kuhusu Arusha ni kweli au uzushi?!!! Inashangaza na kutisha

Hivi haya tunayoyasikia kuhusu Arusha ni kweli au uzushi?!!! Inashangaza na kutisha

Dr wa Manesi

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2024
Posts
6,479
Reaction score
4,974
Akilini mwangu, tangu nikiwa mdogo shule, ilijengeka taswira nzuri sana kuhusu mkoa wa arusha. Vivutio vya utalii, ile kwamba no Geneva ya Afrika n.k vilinichanganya sana akili kiasi ilijengeka picha ya mbingu akilini pale Arusha ikitajwa.

Nikiri, mpaka nikiwa mkubwa hivi, Kuna picha njema flani Bado ipo kichwani kwangu kuhusu Arusha.

Siku za hivi karibuni, binafsi ni takribani mwezi Sasa, Kila siku lazima nikutane na habari za ajabu ajabu kuhusu Arusha...na zote zinahusu mauaji.

Ni mauaji yanayoambatana vitendo vya ajabu n.k. Jamani, wanaJF, hii ni kweli au ni hujuma tu dhidi ya mkoa huo?!!!! Binafsi sijawahi kufika.......taratiiiibu hamu ya kufika huko inaondoka.
 
Akilini mwangu, tangu nikiwa mdogo shule, ilijengeka taswira nzuri sana kuhusu mkoa wa arusha. Vivutio vya utalii, ile kwamba no Geneva ya Afrika n.k vilinichanganya sana akili kiasi ilijengeka picha ya mbingu akilini pale Arusha ikitajwa. Nikiri, mpaka nikiwa mkubwa hivi, Kuna picha njema flani Bado ipo kichwani kwangu kuhusu Arusha.
Siku za hivi karibuni, binafsi ni takribani mwezi Sasa, Kila siku lazima nikutane na habari za ajabu ajabu kuhusu Arusha...na zote zinahusu mauaji. Ni mauaji yanayoambatana vitendo vya ajabu pia kama kutundikwa mtini, kufukiwa Kisha kichwa kuachwa juu n.k. Jamani, wanaJF, hii ni kweli au ni hujuma tu dhidi ya mkoa huo?!!!! Binafsi sijawahi kufika.......taratiiiibu hamu ya kufika huko inaondoka.
Madhara ya kukumbatia maCCM hayo
 
Hata Mimi nilikuwa niogopa sn chuga hizo story zake.Mara paaap nikapata wasaa wa kukaa huko kidogo aisee hakuna tatizo.Ila Kuna ka formula kake namna ya kuishi.Kuna hulka flani wanayo vijana wa Arusha.
Usizoeane nao sana,usiwe mnyonge sana.

Ila Fanya juu chini wasikujue kabisaaa,then watakuogopa.
 
Hata Mimi nilikuwa niogopa sn chuga hizo story zake.Mara paaap nikapata wasaa wa kukaa huko kidogo aisee hakuna tatizo.Ila Kuna ka formula kake namna ya kuishi.Kuna hulka flani wanayo vijana wa Arusha.
Usizoeane nao sana,usiwe mnyonge sana.

Ila Fanya juu chini wasikujue kabisaaa,then watakuogopa.
Oh, sawa. Ahsante
 
Uko wanaishi wadudu ili uishi nao jifunze tabia za wadudu na Uwe mdudu haswaa.
 
Wapi Sasa; Arusha au kwangu?!!!


Halafu vp, tone tone Yako wamekurudishia?
Acha ujinga jomba sisi hatubabaiki tupo na Chadema hadi tone la mwisho. maCCM ni kuku tu ng'ombe kabisa.

20250611_110840.jpg
 
Back
Top Bottom