ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Usizue taharuki isiyo na maana ..mikoa yote haina tofaut Sana basi Tu ni ka upepo kabaya kamepita..ila sijui bangi ya kule NI Kali mpk waishindwe
Sasa hivi si Paul Makonda tena,Upo nchi hii hii??
Mkuu ni kwamba unashindwa kupata taarifa sahihi za chuga??
Upo mkoa gani nikutumie nauli ufike hapo jiji la Makonda??
Jombaaa unafeli ohoooSasa hivi si Paul Makonda tena,
Ni Kenan Kohongosi
Unaulizia tonetone ? Wenzako wanauliziaWapi Sasa; Arusha au kwangu?!!!
Halafu vp, tone tone Yako wamekurudishia?