figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Wakuu,
Nimeshindwa kuelewa wanaomuona Mwenda zake Magufuli eti alikuwa Mbunifu.
Ilikuaje akashindwa Kubuni na kutengeneza Vitu vya Maana kama Royal Tour? Rafiki yake Kagame alitengeneza yeye akawa anasema Matajiri nataka waishi kama Mashetani.
Hivi kutengeneza Royal Tour kwa Manuu ya au Kujenga Uwanja wa Chato kipi bora?
Movie ya Royal Tour iligharimu Tsh Bilioni 7. Na Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Mkoa wa Geita Kijiji cha Nyabilezi Wilayani Chato nyumbani kwako na Mwenda zake Magufuli Ulijengwa kwa gharama ya shilingi 39.151 Bilioni.
Ndiyo maana tunaposema Mama anaupoga mwingi eleweni.