Hivi Hayati Magufuli angekuwa hai hali ingekuwaje mpaka sasa

Kungekuwa na madaraja pamoja na barabara za kutosha lakini tukiwa dhooflihali njaa kali, ufukara wa kutisha (mkunula in ntuzu language), viwanda kufungwa, wawekezaji kukimbia, wasiojulikana kila kata, kukosekana kwa ajira, biashara kufungwa, shetani kuhamia tz etc.
 
Tiki za mambo gani? Hata Nyerere aliwekaga poll ya chama Kimoja au Vyama vingi ila wapumbavu wengi walisema chama Kimoja akawapuuza.

Maskini wa mwili na akili anaelewa nini zaidi ya Yanga na Simba n kusubiria kuitwa mnyonge?

Weka poll…tutajua mpumbavu nani
 
Kungekuwa na madaraja pamoja na barabara za kutosha lakini tukiwa dhooflihali njaa kali, ufukara wa kutisha (mkunula in ntuzu language), viwanda kufungwa, wawekezaji kukimbia, wasiojulikana kila kata, kukosekana kwa ajira, biashara kufungwa, shetani kuhamia tz etc.

No pain no gain
 
Back
Top Bottom