Hivi Hayati Magufuli angekuwa hai hali ingekuwaje mpaka sasa

Hivi Hayati Magufuli angekuwa hai hali ingekuwaje mpaka sasa

Kipindi kile kila kitu kilikuwa ovyo ovyo biashara kila siku zinafunga yakiwemo mahotel na viwanda kama hususani vya chumvi. Kule bagamoyo viwanda vya chumvi vyote vilikuwa vimebaki magofu tu.

Hali ya mabank au financial system ilikwa paralysed na mabank kibao yakafunga biashara mf bank ya efata nk.

Bureau de change zote biashara ikafa. Kila sehemu ilikuwa ni vilio tu.

Sasa angekuwa yupo hai mpaka Leo nchi ingekuwa inaomboleza daily kwa watu kufa ama kwa stress au kwa msongo wa mawazo mana biashara hakuna, ajira hakuna kila kituhakangekuwepo
Angekuwepo wewe ungekuwa ovyo kwasababu ulikuwa ovyo,umezaliwa ovyo ni ovyo na utakuwa ovyo milele. Mjinga mkubwa
 
Kipindi kile kila kitu kilikuwa ovyo ovyo biashara kila siku zinafunga yakiwemo mahotel na viwanda kama hususani vya chumvi. Kule bagamoyo viwanda vya chumvi vyote vilikuwa vimebaki magofu tu.

Hali ya mabank au financial system ilikwa paralysed na mabank kibao yakafunga biashara mf bank ya efata nk.

Bureau de change zote biashara ikafa. Kila sehemu ilikuwa ni vilio tu.

Sasa angekuwa yupo hai mpaka Leo nchi ingekuwa inaomboleza daily kwa watu kufa ama kwa stress au kwa msongo wa mawazo mana biashara hakuna, ajira hakuna kila kituhakuna.
Kwanza umeme usingekatika hovyo pili matajiri wangekua raia wa kawaida tu tofauti na sasa matajiri wanaiendelesha serikali tatu viongozi wangekua na adabu kwa raia tofauti na hilivyo sasa nne bara bara zote mbovu ingekua zishajengwa teari Magufuli alikua anapambana na matajiri na kuwapa nafuu watu wa hali ya chini tofauti na hilivyo sasa serikali inawajali zaidi matajiri na wana siasa na kuwakandamiza raia wa kawaida tozo kodi ya majengo kupora ardhi za wananchi kwakisingizio wamevamia hao wanao ambiwa wamevamia wananyaraka zote za serikali mihuri ya serikali mpaka na sahihi za viongozi lakini bado wana ambiwa wamevamia kwa magu haya hayaja kuwepo na mengine mengi
 
Kama JPM angekuwapo US DOLLAR ingekuwa inapatika bila shida tena exchange rate isingekuwa inazidi 2,300. Watu wangeendelea kununua vitu nje bila kudunduliza Dollaar.
Unataka dollar ukafanyie nini? Nina mdogo wangu alikuwa ana Tsh 50 Million kwenye CRDB. Amekwenda China Guanzhou na VISA card yake tu. Amerudi kafunga mzigo bila kununua dola DSM.

Niambie wewe unataka kufanyia nini dola!!
 
Acheni utahira mavi nyie!

Watu maisha magumu hakuna kitu hakijapanda ila mko hapa kunengua viuno?
Ww ndo fala huyo magufuri kakuta bidhaa zinauzwaje na kaondoka kaacha bidhaa zinauzwaje?
Maisha magumu yako kwako kwa sababu ulizoea maisha ya uchawa.

(1)Kakuta bati moja linauzwa 12,000 kaondoka madarakani linauzwa 18500.

(2)kakuta siment mfuko unauzwa sh13,500 huku mikoani kaondoka unauzwa sh 21,000
(3) kakuta sukari kilo ni sh 1800 kaondoka na kaondoka inauzwa 3,000

(4)kaingia madarakani kakuta sekta binafisi na serikali zikiwa na uwezo wa kuajili maelfu ya watainiwa kila mwaka kaondoka huku akiziacha sekita binafisi zikiwa hoi na serikali imeshindwa kuajili na kuongeza watumishi mishahara.

(5) Alishindwa kuwatafutia wakulima masoko ya mazao yao yakawa yanaozea mashambani alafu unajiita kiongozi ?

Kiufupi huyu mama ana mapungufu mengi sana ya kiuongozi lakini hawezi kumfikia huyo kichaa wenu.
Huyo kichaa wenu kaasisi mambo ya hovyo mengi sana ndani ya nchi hii ikiwemo uchawa na tabia ya kujipendekeza kwa watawala.
Ndo katuletea akina Kiitala na akina mwiguru ambao leo wamekuwa tatizo kubwa ndani ya nchi hii.
Ndo katuletea lundo la viraza bungeni wanaopitisha chochote bila kuhoji.
 
Ww ndo fala huyo magufuri kakuta bidhaa zinauzwaje na kaondoka kaacha bidhaa zinauzwaje?
Acha uzwazwa wewe!

Kwa hiyo yeye ndio kakuwekea tozo ya sh 1500 kwenye kila mita ya luku eti kodi ya jengo?

Yeye ndio kaacha cement inauzwa elfu 20,000?

Yeye ndio kaacha mafuta yauzwa sh elfu 4000?

Yeye ndio kaacha hakuna dola?

Yeye ndio kapandisha gharama za usafiri kwa 90%?

Acheni upumbavu.
 
Huyo JPM mnayemtukana humu kwani aliwapa Ujauzito alaf akaukataa au ? Huu uzi umejaa Wajinga tupu

Nauli zimepanda, vyakula bei zimepanda, Dola nchini imepungua, rushwa imeshamiri, watumishi wa hospitalini na Maofisini kazi yao saiv ni kusimanga watu wanaoenda kupata huduma,

Hayo yote kipindi cha JPM hayakuwepo maan utawala wake ulitukuka sana na kuogopwa, alikuwa na sifa za Kuwa kiongozi na itabaki hivyo ni ngumu kuifuta historia ya JPM mtahangaika sana ila Mtashindwa. Mtu katawala miaka 5 tu ila kaacha historia ya maendeleo bora ambayo awamu zote zilizopita hawajawahi kuiweka.
Kiongozi huezi kueleweka kwenye kundi la wapiga mapambio
 
Acha uzwazwa wewe!

Kwa hiyo yeye ndio kakuwekea tozo ya sh 1500 kwenye kila mita ya luku eti kodi ya jengo?

Yeye ndio kaacha cement inauzwa elfu 20,000?

Yeye ndio kaacha mafuta yauzwa sh elfu 4000?

Yeye ndio kaacha hakuna dola?

Yeye ndio kapandisha gharama za usafiri kwa 90%?

Acheni upumbavu.
Mbona huongelei kutuletea lundo la vilaza ndani ya bunge wanao pitisha chochote bila kuhoji?
Mbona huongelei kuwaleta akina mwiguru na akina kitila mukumbo ambao ndo wahusika wakubwa wa hizo tozo unazo lalamikia?

Vip kuhusu sukari aliyo kuta inauzwa 1800 kwa kilo akaondoka inauzwa 3000 mbona husemi?
Mpaka kikwete anaondoka madarakani mm mkoa ninao ishi mfuko wa siment ulikuwa unauzwa 13500 lakini mpaka huyo jiwe wako anaondoka tulikuwa tunaununua 21000.
Kaingia madarakani kakuta bando moja la mabati ya kawaida linauzwa sh 210,000 kaondoka bando moja linauzwa 350,000 sasa hivi ndo yameshuka.

Kakuta serikali na sekta binafisi inaajiri maelfu ya watainiwa kila mwaka kaondoka sekta binafisi zote zikiwa hoi na serikali ikiwa imepoteza uwezo wa kuajili na kuongeza mishaara ya watumishi.

Kuhusu kupanda kwa mafuta na $ hilo ni suala la dunia nzima ambalo liko nje ya uwezo wa viongozi wa tz .

Huyu mama ana mapungufu makubwa ya kiuongozi lakini hawezi kumfikia huyo kichaa wenu.
 
Utetezi wa kipumbavu!

Lini bunge liliwahi kukosa vilaza?

Jiwe kanodka mimi nanunua cemnt 14,000
Hapa nilipo saa hii nanunua elfu 20 bila shaka huko kwako ulikokuwa una nunua elfu 21 saa hii utakuwa una nunua elfu 35.

Hapa nilipo watu wamenununa nyuso zao hazina furaha maisha magumu nauli zimepanda kila kona. Kumbuka mtz ili ale lazima atoke sasa umemuwekea zigo la nauli lazima maisha yawe kama jehanamu.

Kiufupi sana unapolinganisha utawala wa jpm na takataka zingine unaonekana punguani
 
Kama JPM angekuwapo US DOLLAR ingekuwa inapatika bila shida tena exchange rate isingekuwa inazidi 2,300. Watu wangeendelea kununua vitu nje bila kudunduliza Dollaar.
Kwan JPM alikuwa anasimamia upatikanaji wa dollar hadi nchi za majirani zetu? Maana dollar shortage ni janga la karibu nchi zote africa.
Kitu pekee jamaa alifanikiwa ni ku brain wash wanachi masikini ndo maana hata mvua zisiponyesha watu wanaamini ni kwa sanabu JPM hayupo.
 
Kipindi kile kila kitu kilikuwa ovyo ovyo biashara kila siku zinafunga yakiwemo mahotel na viwanda kama hususani vya chumvi. Kule bagamoyo viwanda vya chumvi vyote vilikuwa vimebaki magofu tu.

Hali ya mabank au financial system ilikwa paralysed na mabank kibao yakafunga biashara mf bank ya efata nk.

Bureau de change zote biashara ikafa. Kila sehemu ilikuwa ni vilio tu.

Sasa angekuwa yupo hai mpaka Leo nchi ingekuwa inaomboleza daily kwa watu kufa ama kwa stress au kwa msongo wa mawazo mana biashara hakuna, ajira hakuna kila kituhakuna.
Mmh tema mate chini Mungu ametuepusha sijui ningekuwa na hali gani sasa..
Maana nilishaanza kuwaonea wivu makonda wa daladala.
 
Kipindi kile kila kitu kilikuwa ovyo ovyo biashara kila siku zinafunga yakiwemo mahotel na viwanda kama hususani vya chumvi. Kule bagamoyo viwanda vya chumvi vyote vilikuwa vimebaki magofu tu.

Hali ya mabank au financial system ilikwa paralysed na mabank kibao yakafunga biashara mf bank ya efata nk.

Bureau de change zote biashara ikafa. Kila sehemu ilikuwa ni vilio tu.

Sasa angekuwa yupo hai mpaka Leo nchi ingekuwa inaomboleza daily kwa watu kufa ama kwa stress au kwa msongo wa mawazo mana biashara hakuna, ajira hakuna kila kituhakuna.
Magereza mapya yangejengwa Kilimanjaro na Arusha-hii inatokana na yeye kuamini kila tajiri ni mwizi, hasa wa kaskazini.

Sheria mpya ya vyama vya siasa na kufuta vyama vingi.

Kutaifisha vyombo vya habari na kubakisha TBC pekee.

Nyumba za NSSF, PPF na serikali zilizojengwa chini ya kiwango kule Mgeni Nani, Kijichi , Kigamboni na Kawe wangekuwa wamehamia watumishi wote, hata sisi majaji.

Vibali vya kazi visingetolewa kama njugu!

Makampuni ya BETTING yasingefunguliwa kama sasa, ni utakatishji fedha ndio unatumika kwenye haya makampuni.

Mwendokasi Mgagala ingesha anza kazi toka mwakajana mwishoni, kwa siku inakadiriwa kuingiza mulioni 67 ila kwakuwa hazifany kazi, miundombinu inaoza tu na no one cares.

Dodma kungejengwa msikiti mkubwa kanbis Afrika ili kueneza dini ya amani[Islam].

Akina Mpoto, Diamond na wengine wangekuwa wabunge.
 
Kipindi kile kila kitu kilikuwa ovyo ovyo biashara kila siku zinafunga yakiwemo mahotel na viwanda kama hususani vya chumvi. Kule bagamoyo viwanda vya chumvi vyote vilikuwa vimebaki magofu tu.

Hali ya mabank au financial system ilikwa paralysed na mabank kibao yakafunga biashara mf bank ya efata nk.

Bureau de change zote biashara ikafa. Kila sehemu ilikuwa ni vilio tu.

Sasa angekuwa yupo hai mpaka Leo nchi ingekuwa inaomboleza daily kwa watu kufa ama kwa stress au kwa msongo wa mawazo mana biashara hakuna, ajira hakuna kila kituhakuna.

Nchi ingekuwa mbali sana kama Majaliwa angechukua kijiti 17/3/21.

Kusingekuwa na tozo za ajabu ajabu, kuuza misitu, bandari na mbuga. Nidhamu serikali ingeongezeka na rushwa kupungua, safari zisizo za msingi nje ya nchi zisingekuwepo. Mafisadi wote wasingerudishwa serikalini, tusingekopa hovyo hovyo.

SGR, Bwawa la umeme yangeendelezwa kwa spidi kubwa. Tatizo la umeme, maji yangekuwa historia. Mfumuko wa bei ungezibitiwa. Udini, ukanda ungepungua.

Nchi ingebakia uchumi wa kati na kuzidi kupaa zaidi siyo kuzidi kudidimia.
 
Utetezi wa kipumbavu!

Lini bunge liliwahi kukosa vilaza?

Jiwe kanodka mimi nanunua cemnt 14,000
Hapa nilipo saa hii nanunua elfu 20 bila shaka huko kwako ulikokuwa una nunua elfu 21 saa hii utakuwa una nunua elfu 35.

Hapa nilipo watu wamenununa nyuso zao hazina furaha maisha magumu nauli zimepanda kila kona. Kumbuka mtz ili ale lazima atoke sasa umemuwekea zigo la nauli lazima maisha yawe kama jehanamu.

Kiufupi sana unapolinganisha utawala wa jpm na takataka zingine unaonekana punguani
Huna akili kwann ulikuwa una inunua 14000 na sio bei uliyo kuwa unainunua kabla ya huyo jiwe kuingia Madarakani?

Eti kulinganisha ni kweli hatakiwi kulinganishwa na awamu nyingine kwasababu awamu yake ilikuwa ni takataka na hasara kubwa kwa Wtz.

Ukitoa mradi wa bwawa la Nyerere unaweza kunitajia mradi mwingine wa maana unao gusa maisha ya watz wote alio uanzisha jiwe?

Bila kikwete kubuni na kuanzisha mradi wa umeme vijijini REA huyo bibi yako kijijini angekuwa anajua hata barbu ya umeme inafananaje?

Bila kikwete kuanzisha shule za kata mtoto wa masikini angejua ladha ya elimu inafananaje?
Kikwete kajenga moja wapo ya chuo kikubwa kabisa ndani ya nchi hii UDOM.

Asilimia 65 ya mitambo inayo zalisha umeme nchini ambao mlikuwa mnamsifu jiwe kuwa haukatiki ime jengwa na Kikwete.
Kikwete kajenga maelfu ya km za mabarabara ya kuunganisha mikoa ya tz .

Kikwete aliajili maelfu ya wasomi kila mwaka.
Chini ya utawala wa kikwete maisha ya Wtz yalikuwa marahisi maana bidhaa zote za muhimu kwa binadamu zilikuwa na bei ya chini na bado mzunguko wa pesa ulikuwa mkubwa.

Chini ya kikwete uchumi wa Tz ulikuwa unakuwa kwa %8.

Sasa huyo jiwe wako unaweza kumfananisha kwa lipi na kikwete ?

Eti rais wa wanyonge yaani unajiita rais wa wanyonge wakati huo badala ya kuajili maelfu ya watoto wa masikini walio jazana mitaani wanaangaika na kushinda njaa unaenda kutumia matirion ya fedha kununua mandege sijui kujenga ikulu ya kufahari dodoma alafu unajisifu?
 
Back
Top Bottom