Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao akina Lema ndo wakimbizi? Wabongo bado mataahira sana!Tungekuwa na wakimbizi wengi wa kisiasa ughaibuni.
Haya yaliyopanda yamesaidia nini? Barabara ya Kutoka Kahama kwenda kakola Kupitia Segese mgodi umetoa zaidi ya bilion 80 Ijengwe Serkali ya Samia Imeshikilia hela na kuzitumia!we juha tu.
kwani hujui wawekezaji walikimbia?
makusanyo TRA yalishuka
Jitu jinga sana hili. Hivyo viwanda vina maana gani kwa watanzania zaidi ya kuwanyonya?Hujui Bureau De Change zilikua zinafanya haram gani. Unaropoka tu.. hivyo viwanda vya chumvi kufungwa uliona chumvi ikipanda bei?…
Nani alithubutu Nyerere hp? Ni mali ya ccm?Watawala wote wa CCM wana tabia zinazifanana. Huwa wanapenda kutanguliza maslahi ya chama chao kwanza, halafu yale ya Taifa yanawekwa mwishoni.
Jinyonge kabisaembu acha kunikumbusha machungu; kuna siku nililalia muhindi wa kuchemsha
Mawazo mapana yako wapi?Huu Sasa ndo mfano halisi wa ufinyu wa mawazo.
Usingesikia dola haipatikaniKipindi kile kila kitu kilikuwa ovyo ovyo biashara kila siku zinafunga yakiwemo mahotel na viwanda kama hususani vya chumvi. Kule bagamoyo viwanda vya chumvi vyote vilikuwa vimebaki magofu tu.
Hali ya mabank au financial system ilikwa paralysed na mabank kibao yakafunga biashara mf bank ya efata nk.
Bureau de change zote biashara ikafa. Kila sehemu ilikuwa ni vilio tu.
Sasa angekuwa yupo hai mpaka Leo nchi ingekuwa inaomboleza daily kwa watu kufa ama kwa stress au kwa msongo wa mawazo mana biashara hakuna, ajira hakuna kila kituhakuna.
Wanaofuata mabwana zao wakawapumlie.Tungekuwa na wakimbizi wengi wa kisiasa ughaibuni.
Ulikuwa hupati kuiba hicho kitengo ulipo au pengine wewe ni wale walioghushi vyeti upate kuajiriwa wakati wenzio walitumikia shule na hawana ajiraNilikonda sana kwa kweli. Nadhani hadi sasa ningekuwa na Kilo 3 tu[emoji1787]
Mkuu we jua tu kwamba nilikonda sana. Acha kukisiakisia mambo!Ulikuwa hupati kuiba hicho kitengo ulipo au pengine wewe ni wale walioghushi vyeti upate kuajiriwa wakati wenzio walitumikia shule na hawana ajira
Mifuko ya Hifadhi iliunganishwa kwa sababu mtangulizi wake aliifilisi kwa kuikopa na kuingia kwenye miradi ya ujenzi isiyo na tijaWewe acha porojo zako uchumi wakati wapi? Mbona alishindwa hata kuongeza mishahara kwa watumishi? Mbona mifuko ya hifadhi za jamii iliunganishwa? Mbona alileta sheria za kikokotoo? Mbona Bank zilifungwa?
Aliiba uchaguzi kisha akaingiza wabunge 19 haramu bungeni ilikuwa shida
Sheria hazikufanya kazi bali mamuzi ya mtu mmoja
Kwani alipokuwepo tulitengwa na nani? Mnadanganywa na wazungu eti bila wao sisi tutabaki masikini wakati mliwapa rasilimali zote za nchi bure kabla JPM kuanza kubadilishaRamani ya kutengwa kimatofa
Bagamoyo hakuna kiwanda cha chumvi?Bagamoyo hakukua na kiwanda cha chimvi, huo ni uongo.
Sema biashara yako ilikua hovyo enzi za Magufuli, usitusemee wengine.
Usipende kuongelea waume za wenzio, acha watajiongelea wenyewe
Ulitaka waziache halafu Serikali ikiuza dhamana au hati fungani zinatumika pesa zake yenyewe kununua kwa faida ya watu wachache. Hushangai awamu zote Serikali haikuwahi kulipwa gawio kutoka mashirika au kampuni inapomiliki hisa...mpaka alipoingia mwambaKuna mambo angejikuta tu mfumo wa unambadili msimamo wake unless awe genius mno kupigana na mfumo na kuushinda.
Mfano mabank kukosa deposit kutoka kwa wafanyabiashara sababu ya kushikilia fedha za wafanyabiashara na serikali kuondoa fedha zake kwenye mabank ya biashara huwezi ng'ang'ana na huo msimamo, otherwise utafeli vibaya na huwezi tengeneza wafanyabiashara wapya lazima urudi kwa wale wale ambao ni sehemu ya mfumo.
Jakuna muwekezaji aliyekimbia. Waliokuwa wanapiga kelele ni waliozoea mteremko na misamaha ya kodi iliyotoka kwa upendeleo, JPM alifuta mambo hayo. Waliokuwa wanapiga kelele na kurudi kwao ni wageni ambao ajira zao zilikuwa zinaisha kwa kunyimwa vibali vya kazi ili nafasi zichukuliwe na Watanzania. Mtu ni foreman, mpishi, muongoza watalii, mhasibu, HR, unaambiwa eti ni mgeni. Mwenye kumiliki mradi hakuna uliyemsikia kalalamikawe juha tu.
kwani hujui wawekezaji walikimbia?
makusanyo TRA yalishuka
ukikosa hela ya kula wakati unakwena kutembea unahakikisha umekula kabisa nyumbani,ila ukikosa hela ya kulipia choo wakati unatoka nyumbani unaondoka hivyo hivyo ukitegemea kunya kwa hisani[emoji23][emoji23].Tungekuwa bado tymunaambiwa "bakini na mavi yenu majumbani mwenu".
Khaa,ukikosa hela ya kula wakati unakwena kutembea unahakikisha umekula kabisa nyumbani,ila ukikosa hela ya kulipia choo wakati unatoka nyumbani unaondoka hivyo hivyo ukitegemea kunya kwa hisani[emoji23][emoji23].
hakuna haki pasi na wajibu.
Sent from my Redmi Note 8 using JamiiForums mobile app