Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Kuna mambo angejikuta tu mfumo wa unambadili msimamo wake unless awe genius mno kupigana na mfumo na kuushinda.Sidhani.....hakushaurika yule..
Tena ukimshauri ndio umeharibu kabisaaaaaaaaaa....
Mfano mabank kukosa deposit kutoka kwa wafanyabiashara sababu ya kushikilia fedha za wafanyabiashara na serikali kuondoa fedha zake kwenye mabank ya biashara huwezi ng'ang'ana na huo msimamo, otherwise utafeli vibaya na huwezi tengeneza wafanyabiashara wapya lazima urudi kwa wale wale ambao ni sehemu ya mfumo.