SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Pipa na mfunikoMie najionea bakari na albakari wote wale wale tu.. Mwendazake alipuyanga kwake na huyu mama yenu anapuyanga kwake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pipa na mfunikoMie najionea bakari na albakari wote wale wale tu.. Mwendazake alipuyanga kwake na huyu mama yenu anapuyanga kwake.
Angekuwepo wewe ungekuwa ovyo kwasababu ulikuwa ovyo,umezaliwa ovyo ni ovyo na utakuwa ovyo milele. Mjinga mkubwaKipindi kile kila kitu kilikuwa ovyo ovyo biashara kila siku zinafunga yakiwemo mahotel na viwanda kama hususani vya chumvi. Kule bagamoyo viwanda vya chumvi vyote vilikuwa vimebaki magofu tu.
Hali ya mabank au financial system ilikwa paralysed na mabank kibao yakafunga biashara mf bank ya efata nk.
Bureau de change zote biashara ikafa. Kila sehemu ilikuwa ni vilio tu.
Sasa angekuwa yupo hai mpaka Leo nchi ingekuwa inaomboleza daily kwa watu kufa ama kwa stress au kwa msongo wa mawazo mana biashara hakuna, ajira hakuna kila kituhakangekuwepo
Kwanza umeme usingekatika hovyo pili matajiri wangekua raia wa kawaida tu tofauti na sasa matajiri wanaiendelesha serikali tatu viongozi wangekua na adabu kwa raia tofauti na hilivyo sasa nne bara bara zote mbovu ingekua zishajengwa teari Magufuli alikua anapambana na matajiri na kuwapa nafuu watu wa hali ya chini tofauti na hilivyo sasa serikali inawajali zaidi matajiri na wana siasa na kuwakandamiza raia wa kawaida tozo kodi ya majengo kupora ardhi za wananchi kwakisingizio wamevamia hao wanao ambiwa wamevamia wananyaraka zote za serikali mihuri ya serikali mpaka na sahihi za viongozi lakini bado wana ambiwa wamevamia kwa magu haya hayaja kuwepo na mengine mengiKipindi kile kila kitu kilikuwa ovyo ovyo biashara kila siku zinafunga yakiwemo mahotel na viwanda kama hususani vya chumvi. Kule bagamoyo viwanda vya chumvi vyote vilikuwa vimebaki magofu tu.
Hali ya mabank au financial system ilikwa paralysed na mabank kibao yakafunga biashara mf bank ya efata nk.
Bureau de change zote biashara ikafa. Kila sehemu ilikuwa ni vilio tu.
Sasa angekuwa yupo hai mpaka Leo nchi ingekuwa inaomboleza daily kwa watu kufa ama kwa stress au kwa msongo wa mawazo mana biashara hakuna, ajira hakuna kila kituhakuna.
Unataka dollar ukafanyie nini? Nina mdogo wangu alikuwa ana Tsh 50 Million kwenye CRDB. Amekwenda China Guanzhou na VISA card yake tu. Amerudi kafunga mzigo bila kununua dola DSM.Kama JPM angekuwapo US DOLLAR ingekuwa inapatika bila shida tena exchange rate isingekuwa inazidi 2,300. Watu wangeendelea kununua vitu nje bila kudunduliza Dollaar.
Ww ndo fala huyo magufuri kakuta bidhaa zinauzwaje na kaondoka kaacha bidhaa zinauzwaje?Acheni utahira mavi nyie!
Watu maisha magumu hakuna kitu hakijapanda ila mko hapa kunengua viuno?
Acha uzwazwa wewe!Ww ndo fala huyo magufuri kakuta bidhaa zinauzwaje na kaondoka kaacha bidhaa zinauzwaje?
Kiongozi huezi kueleweka kwenye kundi la wapiga mapambioHuyo JPM mnayemtukana humu kwani aliwapa Ujauzito alaf akaukataa au ? Huu uzi umejaa Wajinga tupu
Nauli zimepanda, vyakula bei zimepanda, Dola nchini imepungua, rushwa imeshamiri, watumishi wa hospitalini na Maofisini kazi yao saiv ni kusimanga watu wanaoenda kupata huduma,
Hayo yote kipindi cha JPM hayakuwepo maan utawala wake ulitukuka sana na kuogopwa, alikuwa na sifa za Kuwa kiongozi na itabaki hivyo ni ngumu kuifuta historia ya JPM mtahangaika sana ila Mtashindwa. Mtu katawala miaka 5 tu ila kaacha historia ya maendeleo bora ambayo awamu zote zilizopita hawajawahi kuiweka.
Alitakiwa rais aje kukupikia wali?embu acha kunikumbusha machungu; kuna siku nililalia muhindi wa kuchemsha
NdiyoAlitakiwa rais aje kukupikia wali?
Mbona huongelei kutuletea lundo la vilaza ndani ya bunge wanao pitisha chochote bila kuhoji?Acha uzwazwa wewe!
Kwa hiyo yeye ndio kakuwekea tozo ya sh 1500 kwenye kila mita ya luku eti kodi ya jengo?
Yeye ndio kaacha cement inauzwa elfu 20,000?
Yeye ndio kaacha mafuta yauzwa sh elfu 4000?
Yeye ndio kaacha hakuna dola?
Yeye ndio kapandisha gharama za usafiri kwa 90%?
Acheni upumbavu.
Mpuuz huyo. Mpe elimu. Anaandika uzi kishenzHujui Bureau De Change zilikua zinafanya haram gani. Unaropoka tu.. hivyo viwanda vya chumvi kufungwa uliona chumvi ikipanda bei?…
Utetezi wa kipumbavu!Mbona huongelei kutuletea lundo la vilaza ndani ya bunge wanao pitisha chochote bila kuhoji?
Mbona huongelei kuwaleta akina mwiguru na akina kitila mukumbo ambao ndo wahusika wakubwa wa hizo tozo unazo lalamikia?
Vip kuhusu sukari aliyo kuta inauzwa 1800 kwa kilo akaondoka inauzwa 3000 mbona husemi?
Mpaka kikwete anaondoka madarakani mm mkoa ninao ishi mfuko wa siment ulikuwa unauzwa 13500 lakini mpaka huyo jiwe wako anaondoka tulikuwa tunaununua 21000.
Kaingia madarakani kakuta bando moja la mabati ya kawaida linauzwa sh 210,000 kaondoka bando moja linauzwa 350,000 sasa hivi ndo yameshuka.
Kakuta serikali na sekta binafisi inaajiri maelfu ya watainiwa kila mwaka kaondoka sekta binafisi zote zikiwa hoi na serikali ikiwa imepoteza uwezo wa kuajili na kuongeza mishaara ya watumishi.
Kuhusu kupanda kwa mafuta na $ hilo ni suala la dunia nzima ambalo liko nje ya uwezo wa viongozi wa tz .
Huyu mama ana mapungufu makubwa ya kiuongozi lakini hawezi kumfikia huyo kichaa wenu.
Kwan JPM alikuwa anasimamia upatikanaji wa dollar hadi nchi za majirani zetu? Maana dollar shortage ni janga la karibu nchi zote africa.Kama JPM angekuwapo US DOLLAR ingekuwa inapatika bila shida tena exchange rate isingekuwa inazidi 2,300. Watu wangeendelea kununua vitu nje bila kudunduliza Dollaar.
Mmh tema mate chini Mungu ametuepusha sijui ningekuwa na hali gani sasa..Kipindi kile kila kitu kilikuwa ovyo ovyo biashara kila siku zinafunga yakiwemo mahotel na viwanda kama hususani vya chumvi. Kule bagamoyo viwanda vya chumvi vyote vilikuwa vimebaki magofu tu.
Hali ya mabank au financial system ilikwa paralysed na mabank kibao yakafunga biashara mf bank ya efata nk.
Bureau de change zote biashara ikafa. Kila sehemu ilikuwa ni vilio tu.
Sasa angekuwa yupo hai mpaka Leo nchi ingekuwa inaomboleza daily kwa watu kufa ama kwa stress au kwa msongo wa mawazo mana biashara hakuna, ajira hakuna kila kituhakuna.
Umechelewa kujua !! Ujinga wetu ndio mtaji mkubwa wa Ccm kututawalaBaada ya kusoma Comments nimegundua Watanzania wengi ni wajinga wa kutupa!
Magereza mapya yangejengwa Kilimanjaro na Arusha-hii inatokana na yeye kuamini kila tajiri ni mwizi, hasa wa kaskazini.Kipindi kile kila kitu kilikuwa ovyo ovyo biashara kila siku zinafunga yakiwemo mahotel na viwanda kama hususani vya chumvi. Kule bagamoyo viwanda vya chumvi vyote vilikuwa vimebaki magofu tu.
Hali ya mabank au financial system ilikwa paralysed na mabank kibao yakafunga biashara mf bank ya efata nk.
Bureau de change zote biashara ikafa. Kila sehemu ilikuwa ni vilio tu.
Sasa angekuwa yupo hai mpaka Leo nchi ingekuwa inaomboleza daily kwa watu kufa ama kwa stress au kwa msongo wa mawazo mana biashara hakuna, ajira hakuna kila kituhakuna.
Kipindi kile kila kitu kilikuwa ovyo ovyo biashara kila siku zinafunga yakiwemo mahotel na viwanda kama hususani vya chumvi. Kule bagamoyo viwanda vya chumvi vyote vilikuwa vimebaki magofu tu.
Hali ya mabank au financial system ilikwa paralysed na mabank kibao yakafunga biashara mf bank ya efata nk.
Bureau de change zote biashara ikafa. Kila sehemu ilikuwa ni vilio tu.
Sasa angekuwa yupo hai mpaka Leo nchi ingekuwa inaomboleza daily kwa watu kufa ama kwa stress au kwa msongo wa mawazo mana biashara hakuna, ajira hakuna kila kituhakuna.
Huna akili kwann ulikuwa una inunua 14000 na sio bei uliyo kuwa unainunua kabla ya huyo jiwe kuingia Madarakani?Utetezi wa kipumbavu!
Lini bunge liliwahi kukosa vilaza?
Jiwe kanodka mimi nanunua cemnt 14,000
Hapa nilipo saa hii nanunua elfu 20 bila shaka huko kwako ulikokuwa una nunua elfu 21 saa hii utakuwa una nunua elfu 35.
Hapa nilipo watu wamenununa nyuso zao hazina furaha maisha magumu nauli zimepanda kila kona. Kumbuka mtz ili ale lazima atoke sasa umemuwekea zigo la nauli lazima maisha yawe kama jehanamu.
Kiufupi sana unapolinganisha utawala wa jpm na takataka zingine unaonekana punguani