Hivi hii hali ni kutaka tu wenyewe au kujisahau?

Wewe ni mwanamke mwema!

Kama usemayo ni kweli mumeo anafaidi
 
Nimwambiaje sasa na mazingira gani na sababu ya kuhairisha
Labda nikuulize kinachokufanya usimuoe ni nini? Je una mke tayar? Hana sifa za kuwa mkeo ama ni kwa sababu ya sumu mnazojazana humu hamtaki kuoa japo najuaga wengi ni geresha tu. Na huwa nahisi umeoa wewe ila humu mnawadanganya wenzenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni mume wa mtu hata ivo
 
Wanawake wengi wa kisasa hawajui wajibu wao kwenye ndoa, na haki za mwanaume kwenye ndoa ni zipi.

Haiwezekani Baraka ya ndoa kuleta Watoto ndio iwe sababu ya mume kukosa huduma za msingi kutoka kwa mke na mapenzi yote kuamia kwa watoto.
 
Inahuzunisha sana....lakini ndo kizazi chetu mkuu
 
Bhna wewe iyo ni uongo mzeee

Watu wakiona ndio wanazidi kuwa smart na zaidi kuwa nadhifu
Ukiona mwanaume nadhifu , ujue ndoa bado ni mpya !!
Mkisha kaa miaka kadhaa ,si ajabu kukkuta mtu kola haijaiaa sawa na yupo kwenye dala dala tayari.
 
Nina kupata vyema.
 
Inahuzunisha sana....lakini ndo kizazi chetu mkuu
Sasa kwa mfano mwanamke hataki kumpa tendo la ndoa mume wake halali hapo maana yake mwanaume plan B afanyaje?

Kitu ambacho wanaume asilimia kubwa tulifeli tangu mwanzoni ni kutokuowa wanawake ambao ni type yetu.

Mfano kitoto cha kizaramo kizuri kusex ndio passion yake Wewe humtaki kwa Sababu nyingi tu kama elimu, family status na ujinga mwingine mwingi tu.

Ndoa nyingi hasa za kisiasa watu wameowana wasioendena ndio shida zote hizi, wewe wale mnaopiga shangwe wote beach Kidimbwi hutaki kumuowa unataka kumuowa mtoto wa Sheikh na yeye pombe hapendi basi kelele haziishi ndani ya nyumba, kumbe ungemkokota mcharuko mwenzako na kumpa terms za maisha anatulia vizuri sana na huko Kidimbwi mtakwenda mkipanga, hawa ndio wake bora kabisa ukirudi home unaulizwa Mr utaanzia mezani au una anza na Mimi? Hapo UDI na mafusho mengine ndio yanatawala nyumba.

Hapo mtoto wa mama mkwe lazima anenepe na nyumbani kunakalika kwa sababu ya utulivu.
 
Ukiona mwanaume nadhifu , ujue ndoa bado ni mpya !!
Mkisha kaa miaka kadhaa ,si ajabu kukkuta mtu kola haijaiaa sawa na yupo kwenye dala dala tayari.
Ndio zile wananunuwaga vitenge mke na mume wanashona vitenge ndio mtoko wa kanisani jumapili kama hivi.
 
At least Kuna mwanamke mmoja anayejielew hapa,
Asante To yeye
 
Vyema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…