Godoro la kioo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2025
- 456
- 1,003
ShukranHiyo hali ni kwako tu , utakoma.
Kama umri wako ndio huu acha kunungβunika mara moja halafu anza kuishi maisha ya kweliNina umri wa miaka 23
Usimfokee mtoto muelekeze taratibu πMiaka 23 au 32???
Mbona una haraka sana na maisha mdogo etu? Yani hapo badooo!! Sijui unaelewa? Mpaka useme!! Miaka 23 ushaanza kununua malaya!? Unasikitisha sana!
Eniweii, toka nje katafute shughuli za kukufanya uwe busy usipate muda wa kuwaza huu ushenzi uloandika hapa!kama unatamani kujenga achana na akili hizi hapo! Tuliza fahamu waza unapataje pesa! Acha kukaa ndani mtoto wa kiume!!
Miaka 23 unamuoa nani? Ujinga!!
Na akiendelea hivi kuna ushenzi ataujaribu nakwambia! Kukaa ndani unaishia kushinda mitandaoni unakutana na anko t kashusha v8? Lazma udate..!Kama umri wako ndio huu acha kunungβunika mara moja halafu anza kuishi maisha ya kweli
Umri wako unaruhusu kujaribu mengi hata ukikataliwa au kukosa bado zitakuja nafasi nyengine nyingi zaidi
Mtoto mpumbavu namna hiii!πUsimfokee mtoto muelekeze taratibu π
Kwamba ataleft π§Na akiendelea hivi kuna ushenzi ataujaribu nakwambia! Kukaa ndani unaishia kushinda mitandaoni unakutana na anko t kashusha v8? Lazma udate..!
tumsaidie kijana inaonekana anahitaji kubadilika kweliMtoto mpumbavu namna hiii!π
Binafsi amenifurahisha sana hapo kwenye nyeto.Mtoto mpumbavu namna hiii!π
πππ Dah kuwa serious bcShukran
duh! apo kwanza epuka kukaa ndani peke yako mara nyingi huathir kujiamini na kufikiri pia!Wakuu Kuna muda nakaa nafikiria mpaka naanza kujiuliza aliependekeza Mimi nizaliwe aliwaza Nini
Picha linaanza mpaka Sasa Nina umri wa miaka 23
Lakini Hali yangu haieleweki pangu pakavu tia mchuzi
Nipo nipo tu Sina mke,Sina mtoto,Sina kiwanja,Sina nyumba hata kazi ya kueleweka sina
Mwaka wa Tano huu Toka nimetoka kijijini lakini Cha maana nilichofanya hamna
Vijana wenzangu Wameoa Wana watoto, wengine wamejenga lakini Mimi niko mjini nimebumbwa tu
Ukiachilia mbali hilo
Toka nikiwa mdogo ni mtu flani mkimya mno mno mara nyingi napenda kujitenga
Ingawa Huwa tukizoeana nakuwa mchangamfu sana
Muda wangu mwingi nautumia kukaa ndani naweza kukaa ndani Toka asubuh mpaka jioni
Hali hii inanipa wakati mgumu kuzoeana na watoto wa kike
Kutongoza mwanamke mpaka tuzoeane na nijihakikishie kuwa nampenda kweli
Sasa hili ni tatizo kwa sababu nishapigwa matukio kiasi kwamba ni kama moyo ushakufa ganzi
Njia pekee ambayo ingekuwa inanisaidia kuondoa msongo wa mawazi ni Kununua malaya lakini kununua malaya naona kinyaa
Kuna muda nawaza nianze kunywa pombe labda kupunguza mawazo na presha ya maisha niliyonayo lakini nikifikiria naona huko ndo nitakuwa nimepotea zaidi
Njia pekee ambayo nimekuwa nikiitumia hasa ninapozidiwa na msongo wa mawazo ni kujichua
Hali hii imepelekea nimekuwa mraibu wa punyeto
Familia,jamii ,na marafiki Kila muda Kila wakati swali ni Moja unaoa lini
Kuoa Pengine ikawa si tatizo lakini Kuna muda naona kama nikioa ndoto zang ndo nitakuwa nimezizika mazima
Daah kichwa kinawaka moto mpaka nahisi kuchanganyikiwa
N.B: Mnisamehe kwa muandiko mbovu nimejaribu kufupisha
usimkatishe tamaa uy bro banHiyo hali ni kwako tu , utakoma.