Hivi hii Hali ni kwangu tu? Maana kuna muda kichwa kinapata moto

Hivi hii Hali ni kwangu tu? Maana kuna muda kichwa kinapata moto

Njia pekee ambayo ingekuwa inanisaidia kuondoa msongo wa mawazi ni Kununua malaya lakini kununua malaya naona kinyaa
Hata hao waliokupiga chini pia walikua malaya na uliwala na wakakubwaga sasa kinyaa cha nini Mzee? Unaogopa kumla bata kisa akinya anaharisha? Peleka sehemu nzuri aoge apake mafuta anukie apige unyunyu mzuri no bacteria safi kabisa unasuuza rungu mpaka anakuheshimu ila unajua shida nini huna hela ungekua na hela ungewafaidi sana
 
Njia pekee ambayo nimekuwa nikiitumia hasa ninapozidiwa na msongo wa mawazo ni kujichua
Testosterone inakua release kwa muda tu then ukishamwaga inashuka kiwango chake kwa hio ili uisikie tena inabidi upige tena cha ukucha unaweza ukapiga sana ila ubaya wa hio hormone ukishamwaga tu wazungu inashuka chini ya kiwango kwa hio Cortisol inapanda juu anxiety, guilty eeh sasa ili uishushe Cortisol uipandishe Testosterone yaan uji-feel mwanaume inabidi upige tena cha ukucha, usishangae kwanini watu wanaamua kuvuta bangi

Kingine ngoja nikumegee siri ya ndani, malaya wengi hususani ambao hawajakuzoea hata manzi ukimtikea leo cha kwanza anacheza na Cortisol (wasiwasi wako) sio Testosterone (kujiamini kwako)
 
Miaka 23 kama unapiga nyeto round moja ongeza ziwe tatu. Umri wa kuhangaika na wanawake bado watakuchezea uvulana wako.....

Hayo mengine weka juhudi kutafuta kipato na kazi yatakaa sawa.

Nyumba? Duniani tumekuja kupita na mali zote ni za Mungu na Mungu ni baba yetu, so chagua ghorofa lolote liwe lako....

Anyway jokes aside. Umri wako kwa sisi waafrika ndio umri wa maisha kuanza kuchora dira miaka 20-35 ni muda wa kutafuta na kujaribu kila kitu. Hivyo unavyotaka kuwa navyo vitakuja tu usijipe stress weka juhudi kwenye kutafuta kipato kwanza...
 
Eti ana taka kiwanja, nyumba, mke akiwa na miaka 23
FB_IMG_17761159160782593.jpg
 
Back
Top Bottom