Hivi hii Hali ni kwangu tu? Maana kuna muda kichwa kinapata moto

Hivi hii Hali ni kwangu tu? Maana kuna muda kichwa kinapata moto

Nina umri wa miaka 23
nishapigwa matukio kiasi kwamba ni kama moyo ushakufa ganzi
Duh,
Dogo, Mbona umewahi sana kwenye haya mambo ya uchakataji mbususu?

Miaka 23 na kupigwa matukio ya kutisha wapi na wapi? Wewe ndo unatakiwa kuwapiga matukio
Kutongoza mwanamke mpaka tuzoeane
We jikite kwenye kutafuta mpunga, wao watakuja wenyewe tu.
Nipo nipo tu Sina mke,Sina mtoto,Sina kiwanja,Sina nyumba hata kazi ya kueleweka sina
Achana na mambo ya kukata tamaa. Tatizo unawaza mambo yanayokuzidi umri
 
Vijana wengi at that age wanakuwa na pressure ya mafanikio makubwa, kujenga nyumba nzuri, kufanya kazi nzuri biashara kubwa kubwa etc.
Ila usijali ukikaribia 30s maisha yatakuwa yamekupitisha kwenye uhalisia huo wasiwasi wa kupata maisha mazuri kwa haraka utapotea.
Kikubwa katika huo umri pambania kila fursa jaribu kila tobo jifinze skills mbalimbali ili unapofikisha 30 uwe umeshatengeneza njia sio kuja kutia huruma.
 
Huu uzi kama sio umeniandikia mimi, basi ilitakiwa niandike mimi.

Yaan tumefanana kila kitu kasoro umri na majukumu, mwenzako FAMILIA inaniangalia muda wote, afu kipato ninachoingiza kwa mwezi, zidisha mara4, ndo inatosha ya matumizi kwa mwezi. Ila sijakata na sikati tama.

Alafu suala la kunyetuka fanya hivi,
Ukijichua mara1, rudia tena hata kwa lazima. Ukimaliza kuna hali fulan ya kujisikia vibaya na hatia, sasa apo ndo uanze kufikiria hili ni jambo la kawaida tu. Jiamini, jikubali, na kubali una tatizo, kisha likatae kabisa. Yaani chukulia tu we ni kilema, ila hicho kilema unakikataa kabisa, yaani hakikudhuru na kukutawala hata siku moja
Tena kifikra sema "mimi si kilema, na sitaki ukilema kabisa"
Baada ya hapo kuna hali fulan ya utulivu inakujia, hapo unatakiwa ufikirie maisha yako sasa. Na inatakiwa ujikubali kuwa "maisha yangu sio mazuri"
Kisha fikiria chakufanya, USICHAGUE KAZI,ili mradi sio haramu na inakufaa pia USIJIFANANISHE na mtu
Baada ya miaka10 unakuja na uzi wa kujisifia UTAJIRI
23 bado sana.
 
Muda wangu mwingi nautumia kukaa ndani naweza kukaa ndani Toka asubuh mpaka jioni

Shida yako ipo ā˜ļø
Tafuta kazi!!
 
Hata usihangaike sana, hizo ni dalili kuwa kijijini panakuita. RUDI KIJIJINI

Anyways.... Dalili kama hizo za kichwa kuwaka moto huwa zinanikuta pale ninapokunywa kilevi au bia ambayo sijawahi kuinywa hapo kabla.

Sijui hali hiyo mwenyekiti min -me unaisemeaje
 
Back
Top Bottom