Hivi hii Hali ni kwangu tu? Maana kuna muda kichwa kinapata moto

Acha pombe bwashee
 
Kama inatokea broke family mambo yote ukitoa mke na watoto ili uya ft ili uyapate county miaka 10

Success is not overnight
 
Wewe una 37 acha uongo
 
Shukran
 
Kama umri wako ndio huu acha kunungโ€™unika mara moja halafu anza kuishi maisha ya kweli

Umri wako unaruhusu kujaribu mengi hata ukikataliwa au kukosa bado zitakuja nafasi nyengine nyingi zaidi
Asante kwa ushauri
 

Tumefanana Kila kitu kivipi mkuu

Anyway, shukrani sana kwa ushauri wako mzuri nitaufanyia kazi
 
Pambana Kijana Fanya Mazoezi Acha Kukaa Ndani,

Tafuta Kazi ya Kufanya Hatakama ni Kurusha Movie au yoyote Ile
Iyo Hali inapita yata fata Majuto au Kujipongeza Kwa Maamuzi Utayo yafanya.
 
Uoe wakati gharama za maisha binafsi tu hujamudu?

Unajishughulisha na NINI? kitu kimoja kifanye kwa moyo wote, tumia mtandao kujitangaza kama hauna akili, utashangaa umepiga hatua ndani ya miaka kadhaa (usitake kufanikiwa day 1), na usiwe na matumizi kuzidi uwezo, hifadhi akiba yako, & jifunze UWEKEZAJI.

Umri wako ndio kwaaaaanza...umeanza kujitafutia, epuka KUENDESHWA
 
Umeeleza mengi ila hujulikani unashida gani hasa

Unasema huna ulichonacho na bado wawaza mademu sijui Malaya hayo mawazo yanatoka wapi waza pesa chalii acha ujuha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ