Hivi hii Hali ni kwangu tu? Maana kuna muda kichwa kinapata moto

Miaka 23 Tyr unanunua Malaya nyie si mtakuja kuuza Hadi deni la taifa?
 
Hakikisha una elimu, ujuzi na kazi au biashara ya uhakika Kwanza, jiwekee akiba kifedha, wekeza, na baada ya hapo fikiria kujenga familia yako. Hayo yakiendelea, unaweza kuanza mahusiano na mmoja mtakayeendana. Unaelekea kuwa mtulivu, muda utafika na kila kitu litatokea kwa wakati wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…