Hivi hii harufu ya baadhi ya mitaa ya jijini Dar naisikia peke yangu tu?

Hata mimi mara yangu ya pili kurud afrca na kufikia jiji la dar nkitokea LA nilikua nahisi haruf mbaya karibu maeneo yote lakin watu wao wanaona kawaida tu ikabd nivunge nisionekane na dharau.

Unajua hata ukitoka nje ukaingia toilet Kuna haruf flan hiv unaiskia alaf baada ya muda unakua hauhisi Tena nafkiri huu ndo mfano wa watu wa dar wako ndani ya choo kwahiyo hawahisi harufu Hadi watoke nje na warud Tena ndo wataamini jini lina nuka.
 
Nairobi inaafadhali Mkuu. Wanajitahidi.

Mkuu umepita na bus au taxi maeneo ya Eastleigh?
Kuna mitaro imefukuliwa halafu matope yamewekwa pembeni
Sijui wanakausha ila watumie kwa kitu gani maana yanatoa harufu na watu kama ulivyoandika hapo juu
Wamezoea harufu
Na vyakula vinapikwa hapo hapo

Miji mingi Africa inanuka kwa kweli na Dar pananuka sana pia
 
Marehemu Kibonde wa mawinguni aliliita 'jiji kunuka'
 
Aliwahi kusema Mike Jackson kabla hujazaliwa akapuuzwa.
Na huko duniani ulipo we mpumbavu watu hawanyi?
Si tupo huko miaka kenda wa kenda na wanakunya harufu mbaya sana.
Swala bongo waongeze maji vyooni.
 


Upo sahihi kabisa.
Miji mingi ya Afrika ni utopolo.
 
Aliwahi kusema Mike Jackson kabla hujazaliwa akapuuzwa.
Na huko duniani ulipo we mpumbavu watu hawanyi?
Si tupo huko miaka kenda wa kenda na wanakunya harufu mbaya sana.
Swala bongo waongeze maji vyooni.


🤣🤣🤣

Umepaniki Bro
 
Sasa mwanangu nakusanua hiyo harufu we ipende kuivuta kwa sababu inaongeza nguvu za kiume.
 


Umesema kweli, nilihisi nimepata Hitilafu ya puani, lakini nikirejea nyumbani Hali ya kawaida
 
Sahihi kabisa, kuna kipindi nilkuwa natokea ughaibuni niliposhuka kwenye Ndege tu nikakumbwa na harufu kali nikawauliza wenzangu wakasema labda inatoka Sokoni Kariakoo.

Lakini cha ajabu nilipokaa masaa kadha pua yangu nayo ikaizoea hiyo harufu ya kinyesi.
 
Ni kweli kunanuka sana,
Mama Ntilie wanazalisha taka za maji machafu na mabaki ya vyakula kila kona ya jiji.
Hizi zote zinamwagwa njiani na kwenye mitaro isiyotiririsha maji kila siku.

Hii imepelekea harufu mbaya sana na hatari ya magonjwa ya mlipuko.
 
shekilango sinza pale sokoni dah yan wenyewe maeneo yale wameshazoea
 
[emoji3][emoji3][emoji3] kuna lile gari nimezoea kuliona barabara ya Gomz- ukipishana na hili gari utazimia kabisa.
Karibu sana, baada ya wiki utaona pako sawa.
Omba sana usiongozane nalo kwenye foleni, unawezakosa hewa kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…