Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanapiga makofii wawaaa wawaaa utafikiri kuna kitu wamekielewaKuna hii clip inaonyesha mikataba ikisainiwa kwa speed kubwa kweli .
Hivi imepitiwa kwa kina kweli ? Mbona ni kama hakuna u seriousness .
View attachment 2708944
Kwa hii clip ,mkataba wa DP unaonekana ulisainiwa 2022 feb 27 na 28 tukawekwe mjengoni ?
View attachment 2708967
Mkuu, hii comment yako imejaa busara za hali ya juu, kama CCM wana masikio na wasikie.Hili dubwasha kubwa sana, nadhani kwa mara ya kwanza katika umri nilionao nimeona Watanzania wakigoma kuelewa kuhusu hili suala, ipo haja CCM kukaa chini na kutafakari upya hii kitu, haina afya njema kwa hii Nchi, tuliambiwa SAUTI YA WENGI NI SAUTI YA MUNGU. CCM wajaribu kuitii, hata kwa shingo upande.
Mbona mama kama anawaza sanaKuna hii clip inaonyesha mikataba ikisainiwa kwa speed kubwa kweli .
Hivi imepitiwa kwa kina kweli ? Mbona ni kama hakuna u seriousness .
View attachment 2708944
Kwa hii clip ,mkataba wa DP unaonekana ulisainiwa 2022 feb 27 na 28 tukawekwe mjengoni ?
View attachment 2708967
DuuhKuna hii clip inaonyesha mikataba ikisainiwa kwa speed kubwa kweli .
Hivi imepitiwa kwa kina kweli ? Mbona ni kama hakuna u seriousness .
View attachment 2708944
Kwa hii clip ,mkataba wa DP unaonekana ulisainiwa 2022 feb 27 na 28 tukawekwe mjengoni ?
View attachment 2708967
😆😆😆"walichotanguliziwa" waliona hakuna haja ya kusoma kabisa!
Chezea ccm wewe! CCM na ufisadi/wizi ni pipa ni mfuniko!
Endelee kusubiriDuuh
Mikataba 36 ?🥱
Hili dubwasha kubwa sana, nadhani kwa mara ya kwanza katika umri nilionao nimeona Watanzania wakigoma kuelewa kuhusu hili suala, ipo haja CCM kukaa chini na kutafakari upya hii kitu, haina afya njema kwa hii Nchi, tuliambiwa SAUTI YA WENGI NI SAUTI YA MUNGU. CCM wajaribu kuitii, hata kwa shingo upande.
Sijui hiyo mingine itakuwajeDuuh
Mikataba 36 ?🥱