Hivi hii mikataba ilisomwa na kueleweka kabla ya kusainiwa ?

RNA

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2013
Posts
1,647
Reaction score
2,803
Kuna hii clip inaonyesha mikataba ikisainiwa kwa speed kubwa kweli .

Hivi imepitiwa kwa kina kweli ? Mbona ni kama hakuna u seriousness .

Kwa hii clip ,mkataba wa DP unaonekana ulisainiwa 2022 feb 27 na 28 tukawekwe mjengoni ?
IMG-20230805-WA0014.jpg
 
Hili dubwasha kubwa sana, nadhani kwa mara ya kwanza katika umri nilionao nimeona Watanzania wakigoma kuelewa kuhusu hili suala, ipo haja CCM kukaa chini na kutafakari upya hii kitu, haina afya njema kwa hii Nchi, tuliambiwa SAUTI YA WENGI NI SAUTI YA MUNGU. CCM wajaribu kuitii, hata kwa shingo upande.
 
Kuna hii clip inaonyesha mikataba ikisainiwa kwa speed kubwa kweli .

Hivi imepitiwa kwa kina kweli ? Mbona ni kama hakuna u seriousness .
View attachment 2708944
Kwa hii clip ,mkataba wa DP unaonekana ulisainiwa 2022 feb 27 na 28 tukawekwe mjengoni ?
View attachment 2708967
Wanapiga makofii wawaaa wawaaa utafikiri kuna kitu wamekielewa
 
Hili dubwasha kubwa sana, nadhani kwa mara ya kwanza katika umri nilionao nimeona Watanzania wakigoma kuelewa kuhusu hili suala, ipo haja CCM kukaa chini na kutafakari upya hii kitu, haina afya njema kwa hii Nchi, tuliambiwa SAUTI YA WENGI NI SAUTI YA MUNGU. CCM wajaribu kuitii, hata kwa shingo upande.
Mkuu, hii comment yako imejaa busara za hali ya juu, kama CCM wana masikio na wasikie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"walichotanguliziwa" waliona hakuna haja ya kusoma kabisa!
Chezea ccm wewe! CCM na ufisadi/wizi ni pipa ni mfuniko!
 
Na kumbe tukiamua hata kuwakataa viongozi wanaotutesa kwa kufanya maisha kuwa magumu inawezekana!!

Back
Top Bottom