Hivi hii nchi hatuna wazalendo wenye nyadhifa za juu kwenye majeshi yetu?

Mdaiwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2025
Posts
1,147
Reaction score
2,919
Maana wazalendo tusiokuwa na uwezo wowote wa kulazimisha mabadiriko tukipaza sauti tunalazimishwa kujiuzulu, au kupotezwa. Sasa nauliza huko kwenye majeshi yetu hatuna wazalendo ambao hawawezwi kupotezwa wala kulazimishwa kujihuzulu wanapopaza sauti ya kulinda mali za watanganyika? Captain Tesha alijaribu ila kwa kuwa na yeye ni mdogo tu akapotezwa.

Kama wazalendo wenye nafasi za maamuzi mpo kwenye majeshi ila hamfanyi kitu tambueni mnaikosea sana ardhi ya Tanganyika
 
Maana wazalendo tusiokuwa na uwezo wowote wa kulazimisha mabadiriko tukipaza sauti tunalazimishwa kujiuzulu, au kupotezwa. Sasa nauliza huko kwenye majeshi yetu hatuna wazalendo ambao hawezi kupotezwa wala kulazimishwa kujihuzulu wanapopaza sauti ya kulinda mali za watanganyika? Captain Tesha alijaribu ila kwa kuwa na yeye ni mdogo tu akapotezwa.

Kama wazalendo wenye nafasi za maamuzi mpo kwenye majeshi ila hamfanyi kitu tambueni mnaikosea sana ardhi ya Tanganyika
mama Tanganyika kachakazwa kila tundu na hakuna wa kumtetea aisee inauma
 
Maana wazalendo tusiokuwa na uwezo wowote wa kulazimisha mabadiriko tukipaza sauti tunalazimishwa kujiuzulu, au kupotezwa. Sasa nauliza huko kwenye majeshi yetu hatuna wazalendo ambao hawawezwi kupotezwa wala kulazimishwa kujihuzulu wanapopaza sauti ya kulinda mali za watanganyika? Captain Tesha alijaribu ila kwa kuwa na yeye ni mdogo tu akapotezwa.

Kama wazalendo wenye nafasi za maamuzi mpo kwenye majeshi ila hamfanyi kitu tambueni mnaikosea sana ardhi ya Tanganyika
Wapo ila hawa jamaa wanapigwa helakubwa mno hakuna hata mmoja anakumbuka tena neno uzalendo. Hadi Wakuu wa Majeshi Wastaafu wanapigwa hela na Landcruiser mpya nje nje! Hii serikali inajua sana kununua watu
 
Ni huzuni. Mama Tanganyika hana wa kumsemea
watoto wengi wakubwa wa mama Tanganyika washamuuza mama yao kwa urojo, uduvi ubuyu wa babu issa wamemuacha mama yao anaingiziwa vyuma vya moto kila tundu na cha kushangaza watoto hawa wapumbavu kabisaa wanashangalia tena wanaua wenzao wanaonyesha ujasiri wa kumsaidia mama Tanganyika
 
Maana wazalendo tusiokuwa na uwezo wowote wa kulazimisha mabadiriko tukipaza sauti tunalazimishwa kujiuzulu, au kupotezwa. Sasa nauliza huko kwenye majeshi yetu hatuna wazalendo ambao hawawezwi kupotezwa wala kulazimishwa kujihuzulu wanapopaza sauti ya kulinda mali za watanganyika? Captain Tesha alijaribu ila kwa kuwa na yeye ni mdogo tu akapotezwa.

Kama wazalendo wenye nafasi za maamuzi mpo kwenye majeshi ila hamfanyi kitu tambueni mnaikosea sana ardhi ya Tanganyika
Huku juu wamewekwa wazenji
 
Hufatilii kesi ya Lissu??jana alisema

"Waheshimiwa Majaji Majeshi yetu haya Polisi, JWTZ na Usalama wa Taifa hawa Wote hawa walikuwa MaCCM. Na ninaamini bado ni MaCCM bado hawajakomboka. Wote hawa ulikuwa huingii Jeshini kama huna kadi ya CCM"

Alisema hivyo jana na kipindi cha maswali ya dodoso,alisema hadi majaji wote CCM sababu ilikua huwezi kuingia chuo kama huna kadi ya CCM,.

Ambae hana aseme lini karudisha..
 
Maana wazalendo tusiokuwa na uwezo wowote wa kulazimisha mabadiriko tukipaza sauti tunalazimishwa kujiuzulu, au kupotezwa. Sasa nauliza huko kwenye majeshi yetu hatuna wazalendo ambao hawawezwi kupotezwa wala kulazimishwa kujihuzulu wanapopaza sauti ya kulinda mali za watanganyika? Captain Tesha alijaribu ila kwa kuwa na yeye ni mdogo tu akapotezwa.

Kama wazalendo wenye nafasi za maamuzi mpo kwenye majeshi ila hamfanyi kitu tambueni mnaikosea sana ardhi ya Tanganyika
Wapo makini hawawezi kujitosa kuharibu nchi kwa faida ya wachache
 
Back
Top Bottom