Jeshi limejaa Waswahili watupu, Kuna Mzanzibar nilimsikia anasema kuna siku alienda Kijitonyama Usalama wataifa make ndani sasa alivyofika getini aliyoongea tu waliona ni Mzanzibar kila mtu akaingia chocho, huko Yeye alienda kumsalimia ndugu yake, Yule Mzanzibar kasema Samia kawachukua Polisi wengi wa Kizanzibari waliokua Zanzibar na kuwapandisha cheo na kuwapelela Tanganyika. Ukienda Usalama wa Taifa wakasikia Unaongea lafudhi ya Kizanzibari kila mtu anaondoka, Magufuli katokosea sana Watanganyika.