mama Tanganyika kachakazwa kila tundu na hakuna wa kumtetea aisee inaumaMaana wazalendo tusiokuwa na uwezo wowote wa kulazimisha mabadiriko tukipaza sauti tunalazimishwa kujiuzulu, au kupotezwa. Sasa nauliza huko kwenye majeshi yetu hatuna wazalendo ambao hawezi kupotezwa wala kulazimishwa kujihuzulu wanapopaza sauti ya kulinda mali za watanganyika? Captain Tesha alijaribu ila kwa kuwa na yeye ni mdogo tu akapotezwa.
Kama wazalendo wenye nafasi za maamuzi mpo kwenye majeshi ila hamfanyi kitu tambueni mnaikosea sana ardhi ya Tanganyika
Ni huzuni. Mama Tanganyika hana wa kumsemeamama Tanganyika kachakazwa kila tundu na hakuna wa kumtetea aisee inauma
Wapo ila hawa jamaa wanapigwa helakubwa mno hakuna hata mmoja anakumbuka tena neno uzalendo. Hadi Wakuu wa Majeshi Wastaafu wanapigwa hela na Landcruiser mpya nje nje! Hii serikali inajua sana kununua watuMaana wazalendo tusiokuwa na uwezo wowote wa kulazimisha mabadiriko tukipaza sauti tunalazimishwa kujiuzulu, au kupotezwa. Sasa nauliza huko kwenye majeshi yetu hatuna wazalendo ambao hawawezwi kupotezwa wala kulazimishwa kujihuzulu wanapopaza sauti ya kulinda mali za watanganyika? Captain Tesha alijaribu ila kwa kuwa na yeye ni mdogo tu akapotezwa.
Kama wazalendo wenye nafasi za maamuzi mpo kwenye majeshi ila hamfanyi kitu tambueni mnaikosea sana ardhi ya Tanganyika
watoto wengi wakubwa wa mama Tanganyika washamuuza mama yao kwa urojo, uduvi ubuyu wa babu issa wamemuacha mama yao anaingiziwa vyuma vya moto kila tundu na cha kushangaza watoto hawa wapumbavu kabisaa wanashangalia tena wanaua wenzao wanaonyesha ujasiri wa kumsaidia mama TanganyikaNi huzuni. Mama Tanganyika hana wa kumsemea
Ni huzuniNchi haina jeshi hii mkuu
Huku juu wamewekwa wazenjiMaana wazalendo tusiokuwa na uwezo wowote wa kulazimisha mabadiriko tukipaza sauti tunalazimishwa kujiuzulu, au kupotezwa. Sasa nauliza huko kwenye majeshi yetu hatuna wazalendo ambao hawawezwi kupotezwa wala kulazimishwa kujihuzulu wanapopaza sauti ya kulinda mali za watanganyika? Captain Tesha alijaribu ila kwa kuwa na yeye ni mdogo tu akapotezwa.
Kama wazalendo wenye nafasi za maamuzi mpo kwenye majeshi ila hamfanyi kitu tambueni mnaikosea sana ardhi ya Tanganyika
Wapo makini hawawezi kujitosa kuharibu nchi kwa faida ya wachacheMaana wazalendo tusiokuwa na uwezo wowote wa kulazimisha mabadiriko tukipaza sauti tunalazimishwa kujiuzulu, au kupotezwa. Sasa nauliza huko kwenye majeshi yetu hatuna wazalendo ambao hawawezwi kupotezwa wala kulazimishwa kujihuzulu wanapopaza sauti ya kulinda mali za watanganyika? Captain Tesha alijaribu ila kwa kuwa na yeye ni mdogo tu akapotezwa.
Kama wazalendo wenye nafasi za maamuzi mpo kwenye majeshi ila hamfanyi kitu tambueni mnaikosea sana ardhi ya Tanganyika