Kwamba jeshi la wananchi halipo tena, ila kuna MILITARY TANZANIA?Jeshi gani unaongelea..? Hili linaitwa MILITARY TANZANIA? hakuna jeshi hapa, wapo wachumia tumbo tu..si lazima wenye vyeo, hata kuruta mmoja akiamua anamaliza hii homework once n for all!
..hakika!Kwamba jeshi la wananchi halipo tena, ila kuna MILITARY TANZANIA?
Jeshi limejaa Waswahili watupu, Kuna Mzanzibar nilimsikia anasema kuna siku alienda Kijitonyama Usalama wataifa make ndani sasa alivyofika getini aliyoongea tu waliona ni Mzanzibar kila mtu akaingia chocho, huko Yeye alienda kumsalimia ndugu yake, Yule Mzanzibar kasema Samia kawachukua Polisi wengi wa Kizanzibari waliokua Zanzibar na kuwapandisha cheo na kuwapelela Tanganyika. Ukienda Usalama wa Taifa wakasikia Unaongea lafudhi ya Kizanzibari kila mtu anaondoka, Magufuli katokosea sana Watanganyika.Nchi haina jeshi hii mkuu
Sio Magufuli ni kikwete mkuuJeshi limejaa Waswahili watupu, Kuna Mzanzibar nilimsikia anasema kuna siku alienda Kijitonyama Usalama wataifa make ndani sasa alivyofika getini aliyoongea tu waliona ni Mzanzibar kila mtu akaingia chocho, huko Yeye alienda kumsalimia ndugu yake, Yule Mzanzibar kasema Samia kawachukua Polisi wengi wa Kizanzibari waliokua Zanzibar na kuwapandisha cheo na kuwapelela Tanganyika. Ukienda Usalama wa Taifa wakasikia Unaongea lafudhi ya Kizanzibari kila mtu anaondoka, Magufuli katokosea sana Watanganyika.
Be careful of what you wish for...Maana wazalendo tusiokuwa na uwezo wowote wa kulazimisha mabadiriko tukipaza sauti tunalazimishwa kujiuzulu, au kupotezwa. Sasa nauliza huko kwenye majeshi yetu hatuna wazalendo ambao hawawezwi kupotezwa wala kulazimishwa kujihuzulu wanapopaza sauti ya kulinda mali za watanganyika? Captain Tesha alijaribu ila kwa kuwa na yeye ni mdogo tu akapotezwa.
Kama wazalendo wenye nafasi za maamuzi mpo kwenye majeshi ila hamfanyi kitu tambueni mnaikosea sana ardhi ya Tanganyika
Punguza hisia.Maana wazalendo tusiokuwa na uwezo wowote wa kulazimisha mabadiriko tukipaza sauti tunalazimishwa kujiuzulu, au kupotezwa. Sasa nauliza huko kwenye majeshi yetu hatuna wazalendo ambao hawawezwi kupotezwa wala kulazimishwa kujihuzulu wanapopaza sauti ya kulinda mali za watanganyika? Captain Tesha alijaribu ila kwa kuwa na yeye ni mdogo tu akapotezwa.
Kama wazalendo wenye nafasi za maamuzi mpo kwenye majeshi ila hamfanyi kitu tambueni mnaikosea sana ardhi ya Tanganyika
Unasakizia wengine sio!?Maana wazalendo tusiokuwa na uwezo wowote wa kulazimisha mabadiriko tukipaza sauti tunalazimishwa kujiuzulu, au kupotezwa. Sasa nauliza huko kwenye majeshi yetu hatuna wazalendo ambao hawawezwi kupotezwa wala kulazimishwa kujihuzulu wanapopaza sauti ya kulinda mali za watanganyika? Captain Tesha alijaribu ila kwa kuwa na yeye ni mdogo tu akapotezwa.
Kama wazalendo wenye nafasi za maamuzi mpo kwenye majeshi ila hamfanyi kitu tambueni mnaikosea sana ardhi ya Tanganyika
Wanavutishwa bangi vyuoni kwao usitegemee kama kuna askari mzalendo aliyesalia.Maana wazalendo tusiokuwa na uwezo wowote wa kulazimisha mabadiriko tukipaza sauti tunalazimishwa kujiuzulu, au kupotezwa. Sasa nauliza huko kwenye majeshi yetu hatuna wazalendo ambao hawawezwi kupotezwa wala kulazimishwa kujihuzulu wanapopaza sauti ya kulinda mali za watanganyika? Captain Tesha alijaribu ila kwa kuwa na yeye ni mdogo tu akapotezwa.
Kama wazalendo wenye nafasi za maamuzi mpo kwenye majeshi ila hamfanyi kitu tambueni mnaikosea sana ardhi ya Tanganyika
Yote ni mapumbavu!Maana wazalendo tusiokuwa na uwezo wowote wa kulazimisha mabadiriko tukipaza sauti tunalazimishwa kujiuzulu, au kupotezwa. Sasa nauliza huko kwenye majeshi yetu hatuna wazalendo ambao hawawezwi kupotezwa wala kulazimishwa kujihuzulu wanapopaza sauti ya kulinda mali za watanganyika? Captain Tesha alijaribu ila kwa kuwa na yeye ni mdogo tu akapotezwa.
Kama wazalendo wenye nafasi za maamuzi mpo kwenye majeshi ila hamfanyi kitu tambueni mnaikosea sana ardhi ya Tanganyika
Upo weweMaana wazalendo tusiokuwa na uwezo wowote wa kulazimisha mabadiriko tukipaza sauti tunalazimishwa kujiuzulu, au kupotezwa. Sasa nauliza huko kwenye majeshi yetu hatuna wazalendo ambao hawawezwi kupotezwa wala kulazimishwa kujihuzulu wanapopaza sauti ya kulinda mali za watanganyika? Captain Tesha alijaribu ila kwa kuwa na yeye ni mdogo tu akapotezwa.
Kama wazalendo wenye nafasi za maamuzi mpo kwenye majeshi ila hamfanyi kitu tambueni mnaikosea sana ardhi ya Tanganyika
Na mimi niulize! Hivi huku uraiani hakuna mzalendo akaamua kujitoa Mhanga akaanzisha kikundi cha uasi? Mbona ni rahisi tu, hapo ni kujishikiza kwa M23 tuMaana wazalendo tusiokuwa na uwezo wowote wa kulazimisha mabadiriko tukipaza sauti tunalazimishwa kujiuzulu, au kupotezwa. Sasa nauliza huko kwenye majeshi yetu hatuna wazalendo ambao hawawezwi kupotezwa wala kulazimishwa kujihuzulu wanapopaza sauti ya kulinda mali za watanganyika? Captain Tesha alijaribu ila kwa kuwa na yeye ni mdogo tu akapotezwa.
Kama wazalendo wenye nafasi za maamuzi mpo kwenye majeshi ila hamfanyi kitu tambueni mnaikosea sana ardhi ya Tanganyika
Upo wewe
Wazalendo wachumia tumbo,Wakina ******ππππMaana wazalendo tusiokuwa na uwezo wowote wa kulazimisha mabadiriko tukipaza sauti tunalazimishwa kujiuzulu, au kupotezwa. Sasa nauliza huko kwenye majeshi yetu hatuna wazalendo ambao hawawezwi kupotezwa wala kulazimishwa kujihuzulu wanapopaza sauti ya kulinda mali za watanganyika? Captain Tesha alijaribu ila kwa kuwa na yeye ni mdogo tu akapotezwa.
Kama wazalendo wenye nafasi za maamuzi mpo kwenye majeshi ila hamfanyi kitu tambueni mnaikosea sana ardhi ya Tanganyika
Mimi sina bunduki wala mizinga na wala sina nyadhifa kubwa kwenye majeshiUpo wewe