Tanzania kwa ssa kuna hali hata hujui ni hali gani maaana hofu imetawala kweli kweliwatoto wengi wakubwa wa mama Tanganyika washamuuza mama yao kwa urojo, uduvi ubuyu wa babu issa wamemuacha mama yao anaingiziwa vyuma vya moto kila tundu na cha kushangaza watoto hawa wapumbavu kabisaa wanashangalia tena wanaua wenzao wanaonyesha ujasiri wa kumsaidia mama Tanganyika
Huu ni uhaini.Na mimi niulize! Hivi huku uraiani hakuna mzalendo akaamua kujitoa Mhanga akaanzisha kikundi cha uasi? Mbona ni rahisi tu, hapo ni kujishikiza kwa M23 tu
Tumia hata mawe,kwani Tesha alikuwa na mizinga na bunduki?Mimi sina bunduki wala mizinga na wala sina nyadhifa kubwa kwenye majeshi
Wote wameishatajirishwa na kunyamazishwa na bi kidudeMaana wazalendo tusiokuwa na uwezo wowote wa kulazimisha mabadiriko tukipaza sauti tunalazimishwa kujiuzulu, au kupotezwa. Sasa nauliza huko kwenye majeshi yetu hatuna wazalendo ambao hawawezwi kupotezwa wala kulazimishwa kujihuzulu wanapopaza sauti ya kulinda mali za watanganyika? Captain Tesha alijaribu ila kwa kuwa na yeye ni mdogo tu akapotezwa.
Kama wazalendo wenye nafasi za maamuzi mpo kwenye majeshi ila hamfanyi kitu tambueni mnaikosea sana ardhi ya Tanganyika
Ni Maguguli mkuu yeye ndiyo aalitakiwa above na afyete na kuteketeza Mifumo yote ya Kikwete, Yani kosa kubwa alilofanyq Magufuli hakuangalia kesho yake na Kesho ya Tanganyika yetu aliwaza alipo tu, hakuwa Tulipotoka tulipo na Tuendako Sasa yeye Badala Adam and na Maadui wa Nchi yeye akawa anatumia .uda mwingi kushughulika na Wapinzani ambao hawana Mifumo yoyote ya kimfikia na hakawaacha Maadui wa Nchi Kwenye ofisi za zserikali. Yani angemchagua HUSSEIN MWINYI angalau tusinge tumbukia shimoni. Ydni Tanzania ya sasa Viongozi wanaogopa Kwenda Ulaya na Marekani huku Miaka ya Nyuma walikua wanapishana Angani.Sio Magufuli ni kikwete mkuu
Nyerere ndiye Aliyeiharibu hii Nchi alihakikisha ana connect chama chake c a ccm na vyombo vyote. Ya ulinzi nchini , ilikuwa ili upate nafasi ya kwenda jeshini lazima uwe mwanachama wa ccm au tanuHufatilii kesi ya Lissu??jana alisema
"Waheshimiwa Majaji Majeshi yetu haya Polisi, JWTZ na Usalama wa Taifa hawa Wote hawa walikuwa MaCCM. Na ninaamini bado ni MaCCM bado hawajakomboka. Wote hawa ulikuwa huingii Jeshini kama huna kadi ya CCM"
Alisema hivyo jana na kipindi cha maswali ya dodoso,alisema hadi majaji wote CCM sababu ilikua huwezi kuingia chuo kama huna kadi ya CCM,.
Ambae hana aseme lini karudisha..

Umemsikia Mange alichokisema .?
Kwenye Majeshi kote kimama kaweka Wazanzibari tupuAnasemaje mkuu
Captain Tesha yupo wapi?Maana wazalendo tusiokuwa na uwezo wowote wa kulazimisha mabadiriko tukipaza sauti tunalazimishwa kujiuzulu, au kupotezwa. Sasa nauliza huko kwenye majeshi yetu hatuna wazalendo ambao hawawezwi kupotezwa wala kulazimishwa kujihuzulu wanapopaza sauti ya kulinda mali za watanganyika? Captain Tesha alijaribu ila kwa kuwa na yeye ni mdogo tu akapotezwa.
Kama wazalendo wenye nafasi za maamuzi mpo kwenye majeshi ila hamfanyi kitu tambueni mnaikosea sana ardhi ya Tanganyika
inasikitisha Wazee wameuza nchi wanakula mishahara na posho Wanakenua tuHili jeshi ni mzigo mkubwa kwa taifa kama kilivyo chama cha kijani yani wameamua taifa lizame hili
Huoni balaa alilolileta. Au unaongea kinafikiWazalendo wapo kama akina Mabeyo alihakikisha katiba inafuatwa Baada ya kifo Cha raisi
Wazalendo wanataka teuzu tu jeshini ni Bure tuMaana wazalendo tusiokuwa na uwezo wowote wa kulazimisha mabadiriko tukipaza sauti tunalazimishwa kujiuzulu, au kupotezwa. Sasa nauliza huko kwenye majeshi yetu hatuna wazalendo ambao hawawezwi kupotezwa wala kulazimishwa kujihuzulu wanapopaza sauti ya kulinda mali za watanganyika? Captain Tesha alijaribu ila kwa kuwa na yeye ni mdogo tu akapotezwa.
Kama wazalendo wenye nafasi za maamuzi mpo kwenye majeshi ila hamfanyi kitu tambueni mnaikosea sana ardhi ya Tanganyika
Kwenda zako! Yaan kwa maslai yenu nyie huko katoliki askari ndio wavunje viapo? Ivi waroma mnajikuta Nchi yenu hii au?Maana wazalendo tusiokuwa na uwezo wowote wa kulazimisha mabadiriko tukipaza sauti tunalazimishwa kujiuzulu, au kupotezwa. Sasa nauliza huko kwenye majeshi yetu hatuna wazalendo ambao hawawezwi kupotezwa wala kulazimishwa kujihuzulu wanapopaza sauti ya kulinda mali za watanganyika? Captain Tesha alijaribu ila kwa kuwa na yeye ni mdogo tu akapotezwa.
Kama wazalendo wenye nafasi za maamuzi mpo kwenye majeshi ila hamfanyi kitu tambueni mnaikosea sana ardhi ya Tanganyika
Wewe jamaa unaonekana ni fukara wa kila kituKwenda zako! Yaan kwa maslai yenu nyie huko katoliki askari ndio wavunje viapo? Ivi waroma mnajikuta Nchi yenu hii au?
Huyu mama kisiki cha mpingo aogopi kitu,kwani mkao wa maumivu Zaid.