Nchi kwa sasa inajiendesha yrnyewe na imefila kwenye ile formulae ya survival of the fittest. Kama huauko fit kujilinda basi unatekwa na wasiojulikana au hakuna anayekujali kabisa as if serikali haipo but waziri mkuu yupo na akishtukiwa huwa anaenda kufoka mikoani with no utekelezajia. He is a purely politician.
Tangu jpm aweke mizizi ya udictator basi mwendelezo wake unafanywa vyema tena kwa ustadi.
Nakulilia nchi yangu.
Tangu jpm aweke mizizi ya udictator basi mwendelezo wake unafanywa vyema tena kwa ustadi.
Nakulilia nchi yangu.