Hivi hii pesa ya Iran ikoje.? Mbona kama karatasi tu wakati wanatumia pesa nyingi kufadhili ugaidi..😲😲

Imeloa

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2013
Posts
14,885
Reaction score
18,083
CBI ilisema katika taarifa kwamba bei ya wastani iliyogunduliwa kwa ununuzi wa dola ya Marekani katika Soko lake jipya la Sarafu la Bei Zilizokubaliwa kwa Pamoja ilikuwa rial 596,470 mwishoni mwa biashara hiyo Jumamosi.

Ilisema kuwa wauzaji bidhaa nje walikuwa wametoa baadhi ya dola milioni 39.5 za mapato yao, kutoka jumla ya dola milioni 70, kwa waagizaji bidhaa kwa bei mpya, kulingana na Press TV.

Iran announces new official price for US dollar
 
Achana na ropaganda za CBN hicho chombo ni mouth piece ya isrel .irani haimport kila kitu kutoka nje kama sis asilimia kubwa wanazaliaha wenyew kwenye viwanda vyao hats dollar ipande vipi bado haiwathiri kiivyo .pia kuna brics hapo usisahau
 
Hivi kwasasq BRICS wao kwa wao wanafanya biashara kwa currency za nchi zao au ikoje
 
CBI ilisema katika taarifa kwamba bei ya wastani iliyogunduliwa kwa ununuzi wa dola ya Marekani katika Soko lake jipya la Sarafu la Bei Zilizokubaliwa kwa Pamoja ilikuwa rial 596,470 mwishoni mwa biashara hiyo Jumamosi.

Ilisema kuwa wauzaji bidhaa nje walikuwa wametoa baadhi ya dola milioni 39.5 za mapato yao, kutoka jumla ya dola milioni 70, kwa waagizaji bidhaa kwa bei mpya, kulingana na Press TV.

Iran announces new official price for US dollar
Ndio shida ya kufikiri Iran ni Tanzania , kutegemea nje kwa kila kitu mpaka kutengezewa vyoo
 
Achana na ropaganda za CBN hicho chombo ni mouth piece ya isrel .irani haimport kila kitu kutoka nje kama sis asilimia kubwa wanazaliaha wenyew kwenye viwanda vyao hats dollar ipande vipi bado haiwathiri kiivyo .pia kuna brics hapo usisahau
Wewe unaongea kwa msimamo wa kidini na unaonyesha ni kwa namna gani ulivyo mjinga kwa maswala ya uchumi.

Ebu jiulize tu hivi, miaka ishirini iliyopita dola moja ya Kimarekani ilikuwa sawa na Rial ngapi ya Iran na kwa nini leo hii tofauti iwe ni kubwa hivyo na jiulize vilevile kwamba miaka ishirini iliyopita dola moja ya Kimarekani ilikuwa ni Rial ngapi ya Saudi Arabia na leo ni ngapi na kwa nini tofauti ni kama hakuna.

Ukitafakari hapo kwa umakini na ukaacha imani feki za kidini na kama akili zako zipo sawasawa kuna kitu utakuwa umeelewa na utaacha ubishi wa vijiweni.
 
Yani hapo maostaz hawataki utaje dollars wanataka ulingnishe na hela nyingine usitaje kipara ndio Shida inapo Anza
 
Achana na ropaganda za CBN hicho chombo ni mouth piece ya isrel .irani haimport kila kitu kutoka nje kama sis asilimia kubwa wanazaliaha wenyew kwenye viwanda vyao hats dollar ipande vipi bado haiwathiri kiivyo .pia kuna brics hapo usisahau
Unakili za kuku wewe mwandishi kanukuu Press TV ya Iran wewe unakuja na kichwa maji na CBN

USSR
 
CBI ilisema katika taarifa kwamba bei ya wastani iliyogunduliwa kwa ununuzi wa dola ya Marekani katika Soko lake jipya la Sarafu la Bei Zilizokubaliwa kwa Pamoja ilikuwa rial 596,470 mwishoni mwa biashara hiyo Jumamosi.

Ilisema kuwa wauzaji bidhaa nje walikuwa wametoa baadhi ya dola milioni 39.5 za mapato yao, kutoka jumla ya dola milioni 70, kwa waagizaji bidhaa kwa bei mpya, kulingana na Press TV.

Iran announces new official price for US dollar
usidanganywe na propaganda,iran haisaidii magaidi,hao wanaosaidiwa na iran ni watu walioonewa na na kudhulumuwa haki zao
 
Achana na ropaganda za CBN hicho chombo ni mouth piece ya isrel .irani haimport kila kitu kutoka nje kama sis asilimia kubwa wanazaliaha wenyew kwenye viwanda vyao hats dollar ipande vipi bado haiwathiri kiivyo .pia kuna brics hapo usisahau
Labda kwa mtazamo wa propaganda pia sio kiuchumi. Usipokua na mahitaji makubwa ya dola katika uchumi automatically exchange rate ya dola inashuka. Ukiona kwao rate ya dola ni kubwa hivyo maana yake wanaagiza nje zaidi kuliko wanavyo export, hizo local manufacturing pia raw materials inatoka nje. Kwa Iran hiyo ni obvious kwa sababu ya economic sanctions

Dola ni bidhaa kama bidhaa yoyote nyingine, kupanda bei ni tafsiri ya high demand si zaidi hapo
 
Kwa ukweli huu ulomwambia umetonesha kidonda, subir aje na povu.
 
Back
Top Bottom