Achana na ropaganda za CBN hicho chombo ni mouth piece ya isrel .irani haimport kila kitu kutoka nje kama sis asilimia kubwa wanazaliaha wenyew kwenye viwanda vyao hats dollar ipande vipi bado haiwathiri kiivyo .pia kuna brics hapo usisahauCBI ilisema katika taarifa kwamba bei ya wastani iliyogunduliwa kwa ununuzi wa dola ya Marekani katika Soko lake jipya la Sarafu la Bei Zilizokubaliwa kwa Pamoja ilikuwa rial 596,470 mwishoni mwa biashara hiyo Jumamosi.
Ilisema kuwa wauzaji bidhaa nje walikuwa wametoa baadhi ya dola milioni 39.5 za mapato yao, kutoka jumla ya dola milioni 70, kwa waagizaji bidhaa kwa bei mpya, kulingana na Press TV.
Iran announces new official price for US dollar
Hivi kwasasq BRICS wao kwa wao wanafanya biashara kwa currency za nchi zao au ikojeAchana na ropaganda za CBN hicho chombo ni mouth piece ya isrel .irani haimport kila kitu kutoka nje kama sis asilimia kubwa wanazaliaha wenyew kwenye viwanda vyao hats dollar ipande vipi bado haiwathiri kiivyo .pia kuna brics hapo usisahau
Ndio shida ya kufikiri Iran ni Tanzania , kutegemea nje kwa kila kitu mpaka kutengezewa vyooCBI ilisema katika taarifa kwamba bei ya wastani iliyogunduliwa kwa ununuzi wa dola ya Marekani katika Soko lake jipya la Sarafu la Bei Zilizokubaliwa kwa Pamoja ilikuwa rial 596,470 mwishoni mwa biashara hiyo Jumamosi.
Ilisema kuwa wauzaji bidhaa nje walikuwa wametoa baadhi ya dola milioni 39.5 za mapato yao, kutoka jumla ya dola milioni 70, kwa waagizaji bidhaa kwa bei mpya, kulingana na Press TV.
Iran announces new official price for US dollar
Wewe unaongea kwa msimamo wa kidini na unaonyesha ni kwa namna gani ulivyo mjinga kwa maswala ya uchumi.Achana na ropaganda za CBN hicho chombo ni mouth piece ya isrel .irani haimport kila kitu kutoka nje kama sis asilimia kubwa wanazaliaha wenyew kwenye viwanda vyao hats dollar ipande vipi bado haiwathiri kiivyo .pia kuna brics hapo usisahau
Unakili za kuku wewe mwandishi kanukuu Press TV ya Iran wewe unakuja na kichwa maji na CBNAchana na ropaganda za CBN hicho chombo ni mouth piece ya isrel .irani haimport kila kitu kutoka nje kama sis asilimia kubwa wanazaliaha wenyew kwenye viwanda vyao hats dollar ipande vipi bado haiwathiri kiivyo .pia kuna brics hapo usisahau
usidanganywe na propaganda,iran haisaidii magaidi,hao wanaosaidiwa na iran ni watu walioonewa na na kudhulumuwa haki zaoCBI ilisema katika taarifa kwamba bei ya wastani iliyogunduliwa kwa ununuzi wa dola ya Marekani katika Soko lake jipya la Sarafu la Bei Zilizokubaliwa kwa Pamoja ilikuwa rial 596,470 mwishoni mwa biashara hiyo Jumamosi.
Ilisema kuwa wauzaji bidhaa nje walikuwa wametoa baadhi ya dola milioni 39.5 za mapato yao, kutoka jumla ya dola milioni 70, kwa waagizaji bidhaa kwa bei mpya, kulingana na Press TV.
Iran announces new official price for US dollar
Labda kwa mtazamo wa propaganda pia sio kiuchumi. Usipokua na mahitaji makubwa ya dola katika uchumi automatically exchange rate ya dola inashuka. Ukiona kwao rate ya dola ni kubwa hivyo maana yake wanaagiza nje zaidi kuliko wanavyo export, hizo local manufacturing pia raw materials inatoka nje. Kwa Iran hiyo ni obvious kwa sababu ya economic sanctionsAchana na ropaganda za CBN hicho chombo ni mouth piece ya isrel .irani haimport kila kitu kutoka nje kama sis asilimia kubwa wanazaliaha wenyew kwenye viwanda vyao hats dollar ipande vipi bado haiwathiri kiivyo .pia kuna brics hapo usisahau
Kwa ukweli huu ulomwambia umetonesha kidonda, subir aje na povu.Labda kwa mtazamo wa propaganda pia sio kiuchumi. Usipokua na mahitaji makubwa ya dola katika uchumi automatically exchange rate ya dola inashuka. Ukiona kwao rate ya dola ni kubwa hivyo maana yake wanaagiza nje zaidi kuliko wanavyo export, hizo local manufacturing pia raw materials inatoka nje. Kwa Iran hiyo ni obvious kwa sababu ya economic sanctions
Dola ni bidhaa kama bidhaa yoyote nyingine, kupanda bei ni tafsiri ya high demand si zaidi hapo