oko majimaji
JF-Expert Member
- Nov 11, 2016
- 790
- 2,079
Natumai wazima.
Unakuta kijana kaangaika miaka kibao kutafuta ajira tena na maombi ya kutosha kwa Mungu lakini baada tu ya kupata ajira anaanza kuangalia mwanya au udhaifu upo wapi ili apige na yeye akanunue kigari atambe mjini alafu wenyewe wanaita et marupurupu wakati huu ni wizi. Hii tabia ndo inatufanya watanzania tusiendelee.
Nimeongea hivi kwa sababu kuna kijana wiki iliyopita kadakwa kwa huo mchezo.