Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Mbona unauliza maswali ya kizee sanaUmeanza kumiliki simu mwaka gani
Hamna kitu muleKuna uzi wake humu ebu nenda kaangalie wanavyojadili huko.
Hata hivyo, AC Milan ilikuwa ya akina Kaka, Gattuso, Ronaldinho, Seedorf, Maldini, Inzaghi, Pirlo, Ambrosini, Cafu, Gilardino, Shevchenko, Dida.
Ila ya sasa imepoa sana
Team ya bwana don carlo...mzee wa christmas tree formation. Hatari hiyoKuna uzi wake humu ebu nenda kaangalie wanavyojadili huko.
Hata hivyo, AC Milan ilikuwa ya akina Kaka, Gattuso, Ronaldinho, Seedorf, Maldini, Inzaghi, Pirlo, Ambrosini, Cafu, Gilardino, Shevchenko, Dida.
Ila ya sasa imepoa sana
Ac Milan na inter Milan, ni kilabu za mpira kongwe kubwa Ulaya na duniani kiliko Arsenal Mancity au Manchester United, ni vijana walio anza kuelewa mpira majuzi baada ya kuja town kwa shemeji zao, ndo wanao ibeza hizo timu kongwe,......hapa Tanzania huenda aina mashabiki kwasababu wengi ni marubukeni wa mpira wa simba na Yanga kwa mfano mliki wa Ac Milani Barasconi waziri mkuu staafu wa ItalyHivi hii klabu ya ac Milan inamashabiki kweli wakuu maana watu wanaiita klabu kubwa wakati hata mashabiki Haina aisee wazee mnatabu sana timu hata mashabiki watano hawafiki MNASEMA ni klabu kubwa duniani halafu hata uwanja haina
Hizo zilipendwa tu hamna kitu muleAc Milan ni moja ya klabu, ni mtikisiko wa kiuchumi ambao ulizikumba klabu nyingi za Italy ambao ulisababisha anguko la Ac Milani. Ila kama unataka kutaja klabu kubwa za mpira dunian basi Ac Milan ni mojawapo.
Kipindi Ac Milan ipo vizuri kiuchumi, hakuna timu baran ulaya ilikuwa inaomba ikutane na hawa jamaa.
Kama umeaza kushabikia mpira juzi utaona Kama zilipendwa. Ila Moto kama huu hata Liverpool waliwahi kuupitia pale na ikaonekana liver ni timu ya wazee.Hizo zilipendwa tu hamna kitu mule
Vijana hawana historia ya soka duniani ndiyo maana nyuzi kama hizi zinaibuka.Kama umeaza kushabikia mpira juzi utaona Kama zilipendwa. Ila Moto kama huu hata Liverpool waliwahi kuupitia pale na ikaonekana liver ni timu ya wazee.
Vijana hawana historia ya soka duniani ndiyo maana nyuzi kama hizi zinaibuk.
Wakati CR7 anateswa na Gattuso huyu sijui alikuwa wapi, Rio na Vidc wanaburuzwa na Kaka hakuwepo kabisa ndo Mana leo anahoji ukubwa wa Ac milanVijana hawana historia ya soka duniani ndiyo maana nyuzi kama hizi zinaibuka.
NipoHivi hii klabu ya ac Milan inamashabiki kweli wakuu maana watu wanaiita klabu kubwa wakati hata mashabiki Haina aisee wazee mnatabu sana timu hata mashabiki watano hawafiki MNASEMA ni klabu kubwa duniani halafu hata uwanja haina
Berlusconi kafariki mwaka jana na aliacha kuwa mmiliki wa AC Milan muda tu.Ac Milan na inter Milan, ni kilabu za mpira kongwe kubwa Ulaya na duniani kiliko Arsenal Mancity au Manchester United, ni vijana walio anza kuelewa mpira majuzi baada ya kuja town kwa shemeji zao, ndo wanao ibeza hizo timu kongwe,......hapa Tanzania huenda aina mashabiki kwasababu wengi ni marubukeni wa mpira wa simba na Yanga kwa mfano mliki wa Ac Milani Barasconi waziri mkuu staafu wa Italy
Hamna kitu hapo mnawapa sifa za bure tuKama umeaza kushabikia mpira juzi utaona Kama zilipendwa. Ila Moto kama huu hata Liverpool waliwahi kuupitia pale na ikaonekana liver ni timu ya wazee.
Hamna kitu hapo zilipendwaKwa akili Yako unaamini Yanga ni Bora kuliko AC Milan.
Watoto wa juzi mna shida sana.
Inter Milan na AC Milan wanatumia uwanja mmoja uitwao GIUSEPPE MEAZZA.
AC Milan Ina Mataji mengi ya UEFA kuliko man city, Arsenal, Chelsea n.k
Siyo klabu ndogo!
Hamna kitu hapoAc Milan na inter Milan, ni kilabu za mpira kongwe kubwa Ulaya na duniani kiliko Arsenal Mancity au Manchester United, ni vijana walio anza kuelewa mpira majuzi baada ya kuja town kwa shemeji zao, ndo wanao ibeza hizo timu kongwe,......hapa Tanzania huenda aina mashabiki kwasababu wengi ni marubukeni wa mpira wa simba na Yanga kwa mfano mliki wa Ac Milani Barasconi waziri mkuu staafu wa Italy
Sio kweliHilo ni jeshi