Hivi hii timu ya Ac Milan inamashabiki kweli

Kuna uzi wake humu ebu nenda kaangalie wanavyojadili huko.

Hata hivyo, AC Milan ilikuwa ya akina Kaka, Gattuso, Ronaldinho, Seedorf, Maldini, Inzaghi, Pirlo, Ambrosini, Cafu, Gilardino, Shevchenko, Dida.

Ila ya sasa imepoa sana
 
Hamna kitu mule
 
Hivi hii klabu ya ac Milan inamashabiki kweli wakuu maana watu wanaiita klabu kubwa wakati hata mashabiki Haina aisee wazee mnatabu sana timu hata mashabiki watano hawafiki MNASEMA ni klabu kubwa duniani halafu hata uwanja haina
Ac Milan na inter Milan, ni kilabu za mpira kongwe kubwa Ulaya na duniani kiliko Arsenal Mancity au Manchester United, ni vijana walio anza kuelewa mpira majuzi baada ya kuja town kwa shemeji zao, ndo wanao ibeza hizo timu kongwe,......hapa Tanzania huenda aina mashabiki kwasababu wengi ni marubukeni wa mpira wa simba na Yanga kwa mfano mliki wa Ac Milani Barasconi waziri mkuu staafu wa Italy
 
Ac Milan ni moja ya klabu, ni mtikisiko wa kiuchumi ambao ulizikumba klabu nyingi za Italy ambao ulisababisha anguko la Ac Milani. Ila kama unataka kutaja klabu kubwa za mpira dunian basi Ac Milan ni mojawapo.
Kipindi Ac Milan ipo vizuri kiuchumi, hakuna timu baran ulaya ilikuwa inaomba ikutane na hawa jamaa.
 
Hizo zilipendwa tu hamna kitu mule
 
Kwa akili Yako unaamini Yanga ni Bora kuliko AC Milan.

Watoto wa juzi mna shida sana.
Inter Milan na AC Milan wanatumia uwanja mmoja uitwao GIUSEPPE MEAZZA.

AC Milan Ina Mataji mengi ya UEFA kuliko man city, Arsenal, Chelsea n.k

Siyo klabu ndogo!
 
Vijana hawana historia ya soka duniani ndiyo maana nyuzi kama hizi zinaibuk.

Vijana hawana historia ya soka duniani ndiyo maana nyuzi kama hizi zinaibuka.
Wakati CR7 anateswa na Gattuso huyu sijui alikuwa wapi, Rio na Vidc wanaburuzwa na Kaka hakuwepo kabisa ndo Mana leo anahoji ukubwa wa Ac milan
 
Ac Milan na inter Milan, ni kilabu za mpira kongwe kubwa Ulaya na duniani kiliko Arsenal Mancity au Manchester United, ni vijana walio anza kuelewa mpira majuzi baada ya kuja town kwa shemeji zao, ndo wanao ibeza hizo timu kongwe,......hapa Tanzania huenda aina mashabiki kwasababu wengi ni marubukeni wa mpira wa simba na Yanga kwa mfano mliki wa Ac Milani Barasconi waziri mkuu staafu wa Italy
Berlusconi kafariki mwaka jana na aliacha kuwa mmiliki wa AC Milan muda tu.
 
Kwa akili Yako unaamini Yanga ni Bora kuliko AC Milan.

Watoto wa juzi mna shida sana.
Inter Milan na AC Milan wanatumia uwanja mmoja uitwao GIUSEPPE MEAZZA.

AC Milan Ina Mataji mengi ya UEFA kuliko man city, Arsenal, Chelsea n.k

Siyo klabu ndogo!
Hamna kitu hapo zilipendwa
 
Ac Milan na inter Milan, ni kilabu za mpira kongwe kubwa Ulaya na duniani kiliko Arsenal Mancity au Manchester United, ni vijana walio anza kuelewa mpira majuzi baada ya kuja town kwa shemeji zao, ndo wanao ibeza hizo timu kongwe,......hapa Tanzania huenda aina mashabiki kwasababu wengi ni marubukeni wa mpira wa simba na Yanga kwa mfano mliki wa Ac Milani Barasconi waziri mkuu staafu wa Italy
Hamna kitu hapo
 
Back
Top Bottom