Hivi hii ya Mgawo wa Umeme kuendelea hadi June 2024 nimeisikia mahala jana peke yangu tu au?

Wakuu wameshasema mgao mwisho mwezi wa sita
Wananchi kaeni kwa kutulia.
 
Ndo kusema Bunge ni mwakilishi wa Serikali na si wetu raia tena?? Uchaguzi hauko mbali, tutawafedhehesha hadharani!!!
 
Ndo kusema Bunge ni mwakilishi wa Serikali na si wetu raia tena?? Uchaguzi hauko mbali, tutawafedhehesha hadharani!!!
Wewe ulitaka Bunge lifanyaje? Umeme sio siasa kama haupo ni haupo na kupata Inachukua mda.
 

Mfuasi wa kambi ya JK huyo
 
Walisema mvua kubwa inayonyesha
Maji mengi hayaendi kwenye bwawa
Eti.. haha [emoji1]

Ova
 
Ukitaka kuwafahamu watanzania tukoje angalia maandamano ya dar na mwanza utapata jibu,mano yako ulio yaandika kuhusu majibu ya mke wa mfarume yanatia simanzi kwenye [emoji3590] umenikumbusha mwigilu nchemba wakati wa tozo bila haya alisema wanao ona tozo inawabana wahamie burundi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…