25000q
JF-Expert Member
- Dec 27, 2022
- 4,805
- 3,762
KumbeSouth Africa Kuna mgao,Nigeria Kuna Mgao sembuse Tanzania?
Waziri amesema mwisho wa mgao ni machi ila Bunge likatoa mda zaidi kwamba Hadi June kusiwe na mgao tena.
Spika Tulia: Bunge linataka mgao wa Umeme mpaka Juni uishe
Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Tulia Ackson, amesema kuwa Bunge limewapa Tanesco muda kufikia mwezi wa sita mgao wa umeme uwe umeisha. "Wacha tuipe serikali muda, kwa maana ipi wao walijipanga mwezi wa sita (shida ya umeme kuisha) wakarejesha nyuma mwezi wa pili...www.jamiiforums.com