Hivi hii ya Mgawo wa Umeme kuendelea hadi June 2024 nimeisikia mahala jana peke yangu tu au?

Kumbe
 
Leo nilikuwa na mawazo mengi wadeni wangu wamechanganya sana lakini mjomba umenifariji [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
TPA🤭, IKULU 😅
 

Attachments

  • IMG-20240217-WA0007.jpg
    70.1 KB · Views: 1

Tunajilinganisha na matatizo ya nchi nyingine? For real? Hapa ndio ulipofika?

Just because hizo nchi zina shida i doesnt mean tusi wajibike. Serikali iwajibike kwa hili hakuna kufichana
 
Nimeamini watanzania sisi ni mazezeta certified dimwits
Haiwezekani zaidi ya masaa 12 tunakosa umeme na tunaona sawa tu,lazima kuna fyuzi zitakuwa zmekata sehemu sio bure .

Watanzania wamezoea shida, na wameridhika nazo. Is why umaskini hauishi sababu unaanzia kwenye akili.

Hili ni tatizo lililotengezwa ku brainwash jamii ili iwe rahisi kuwa control

Watanzania wasipo amka now , hawatoamka tena
 
Tunajilinganisha na matatizo ya nchi nyingine? For real? Hapa ndio ulipofika?

Just because hizo nchi zina shida i doesnt mean tusi wajibike. Serikali iwajibike kwa hili hakuna kufichana
Kwani hatuwajiniki kuzikabili?
 
Magu amekufa na kila kitu kizuri

Alfu watu wanavyo watukuza viongozi
 
Katika mambo nilishindwa muelewa huyu spika ni hili la kuwapa muda hadi june, wakati serikali ilikua imeshajicommit kuwa by march, tatizo kwisha. Ila ipo siku, wananchi wataichukua nchi yao!
 
Samahani hivi unawaza kwa kutumia kiungo gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…