The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
Soma wasifu wake, huyo alikuwa ni mtu wa nyuma ya camera.Duh
Ila Ally Mohamed Kibao alikuwa hafahamiki kabisa kwenye Siasa za Chadema ๐ผ
Msigwa amesema yeye adui yake Chadema ni MKiti tu. Rafiki zake ni Lissu na Heche.
Najiuliza watoto wetu wanweza kuchumbia yule binti wa Msigwa anayeishi Gangilonga?Nimekutana na message kwenye Whats App kwamba Msigwa ndiye aliyemlipua Mzee Kibao eti kuwa ndiye strategist wa Chadema kwenye mikutano yake ye hivi karibuni. Kama ni kweli hivi Msigwa atakuwa anajisikiaje huko aliko .... YUDAS ISCARIOT....!!
View attachment 3091632
Lucas ameshatuma posa ๐๐Najiuliza watoto wetu wanweza kuchumbia yule binti wa Msigwa anayeishi Gangilonga?
#Baba-mkwe wanamna hii ?
Wasifu wake upo wpi?Soma wasifu wake, huyo alikuwa ni mtu wa nyuma ya camera.
ni kweli . Ila huwa naamini kwenye taasisi yeyote ile kuna kuwa na watu au mtu ambaye anafanya kazi kubwa sana behind the scene ili taasis isimame. Yawezekana yeye alikuwa ni hero asiyeimbwa.Duh
Ila Ally Mohamed Kibao alikuwa hafahamiki kabisa kwenye Siasa za Chadema ๐ผ
Mimi nipo na ephen tu ndio mboni ya jicho langu.Lucas ameshatuma posa ๐๐
Fuatilia kwenye u-tube kuna mahojiano kwenye mtandao wa sauti ya watanzania amemtaja kwa jina ally kibao kuwa anaongoza kikundi cha hamasa cha chadema wakati anajibu maswali ya Wana sauti ya watanzaniaNimekutana na message kwenye Whats App kwamba Msigwa ndiye aliyemlipua Mzee Kibao eti kuwa ndiye strategist wa Chadema kwenye mikutano yake ye hivi karibuni. Kama ni kweli hivi Msigwa atakuwa anajisikiaje huko aliko? YUDAS ISCARIOT!
View attachment 3091632
PIA SOMA
- TANZIA - Dar: Ally Mohamed Kibao, kiongozi wa chadema auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
Kwanza mnakosea sana kuita MCH. Huyu ni muhuni tuKama