Hivi hii ya Msigwa kumlipua Mzee Ali Kibao ina ukweli gani?

Duh

Ila Ally Mohamed Kibao alikuwa hafahamiki kabisa kwenye Siasa za Chadema 🐼
Samahani Yohana wewe Ni mwanachama wa Chadema?

Unamjua Kiongozi alianzisha Red Brigade? Unamjua aliyekuwa Mtaalamu wa Siasa na Strategies kwenye chama cha Demokrasia?

Mnamjua Kiongozi mwandamizi aliyekuwa kiongozi wa Protokali Chadema?

Basi Hao ni baadhi ya Viongozi ambao wapo kwenye vyama ambao hawafahamiki
 
Badala ya kujibu swali kama unalo jibu, unaendeleza speculations.
 
Nimekutana na message kwenye Whats App kwamba Msigwa ndiye aliyemlipua Mzee Kibao eti kuwa ndiye strategist wa Chadema kwenye mikutano yake ye hivi karibuni. Kama ni kweli hivi Msigwa atakuwa anajisikiaje huko aliko? YUDAS ISCARIOT!

View attachment 3091632

PIA SOMA
- TANZIA - Dar: Ally Mohamed Kibao, kiongozi wa chadema auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
Moderator nilikuwa na made inayofanana na hii lakini mkaifuta😳
Sasa kinachokuliza ni nini, mpaka unaweka post 2 (#26 & 27) zenye ujumbe huo huo? Endelea tu kuchangia kwenye hii mada.
Hivi kwenye somo la Kiswahili ulipata ngapi?
 
Hivi hawa watawala wetu ina maana hawataki kuona watu smart wanakuwa chama kingine tofauti na ccm? Ya kwamba wao na ccm yao ndiyo wana hati miliki?

Kama hali ndiyo hii tuna safari ndefu sana, badala ya kutumia rasilimali Kwa kuwaletea watu maendeleo sisi tunaitumia kwa kukilinda chama fulani ili kisitoke madarakani.

Kamwe hatuwezi kuendelea mpaka ujinga huu utoke kwenye vichwa vyetu. Naumia sana kuiona Tanzania yangu ikipoteza muelekeo
 
Nimekutana na message kwenye Whats App kwamba Msigwa ndiye aliyemlipua Mzee Kibao eti kuwa ndiye strategist wa Chadema kwenye mikutano yake ye hivi karibuni. Kama ni kweli hivi Msigwa atakuwa anajisikiaje huko aliko? YUDAS ISCARIOT!

View attachment 3091632

PIA SOMA
- TANZIA - Dar: Ally Mohamed Kibao, kiongozi wa chadema auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
Sometimes tutumie hata akili kufikiri hivi mtu akitaka akutarget ni mpaka umtangaze kwenye mikutano ndio wakujue??? Ina maana kabla ya hapo wapikuwa hawamjui

Kana kwamba kuwa behind the camera ndio kunakufanya usijulikane

Kweli upungufu wa akili upo kwa wengi
 
Nimekutana na message kwenye Whats App kwamba Msigwa ndiye aliyemlipua Mzee Kibao eti kuwa ndiye strategist wa Chadema kwenye mikutano yake ye hivi karibuni. Kama ni kweli hivi Msigwa atakuwa anajisikiaje huko aliko? YUDAS ISCARIOT!

View attachment 3091632

PIA SOMA
- TANZIA - Dar: Ally Mohamed Kibao, kiongozi wa chadema auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
Naogopa,.kufa, Mungu amesema usiue, anayekula njama za kuua ndiye muuaji mkuu. Hata hivyo naye atakufa ama natural death or caused. Miaka 100 ijayo hakuna atakayekuwepo. Najiuliza au kushangaa ! Haiwezekani maendeleo au harakati za kibinadamu bila mauaji na mateso kwa wengine ?
 
Back
Top Bottom