Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Ndio maana mimi sitakagi mtu yeyote aitwe Mchungaji wala padre akanyage kwangu na wala sihitaji mazoea hata kwa Wanangu.Kwanza mnakosea sana kuita MCH. Huyu ni muhuni tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana mimi sitakagi mtu yeyote aitwe Mchungaji wala padre akanyage kwangu na wala sihitaji mazoea hata kwa Wanangu.Kwanza mnakosea sana kuita MCH. Huyu ni muhuni tu
Msigwa anahusika na hili jambo akamatwe.Nimekutana na message kwenye Whats App kwamba Msigwa ndiye aliyemlipua Mzee Kibao eti kuwa ndiye strategist wa Chadema kwenye mikutano yake ye hivi karibuni. Kama ni kweli hivi Msigwa atakuwa anajisikiaje huko aliko? YUDAS ISCARIOT!
View attachment 3091632
PIA SOMA
- TANZIA - Dar: Ally Mohamed Kibao, kiongozi wa chadema auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
Msigwa anahusika na hili jambo akamatwe.
Kuwa strategist wa chama fulani sio kosa labda kama watu hawaelewi maana ya strategy. Hata CCM wanao strategists wao.Nimekutana na message kwenye Whats App kwamba Msigwa ndiye aliyemlipua Mzee Kibao eti kuwa ndiye strategist wa Chadema kwenye mikutano yake ye hivi karibuni. Kama ni kweli hivi Msigwa atakuwa anajisikiaje huko aliko? YUDAS ISCARIOT!
View attachment 3091632
PIA SOMA
- TANZIA - Dar: Ally Mohamed Kibao, kiongozi wa chadema auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
Kuwa strategist wa chama fulani sio kosa labda kama watu hawaelewi maana ya strategy. Hata CCM wanao strategists wao.
Chama chochote lazima kiwe na mipango mkakati wa kuendesha shughuli zao.
Strategist sio mhaini.
Ni kweli ipo sheria hiyo? ebu Fafanua kidogo mkuu.Hii Sheria mpya ya salama wa taifa kupewa nguvu ya kisheria kuua yeyote bila kuwaijibika itatupa shida tuenako
Huyo hafai tena kuwa mke kama baba yake mzee Msigwa ambaye ni laana kwenye jamii, mnafiki na asiyeaminika mshirika wa wauaji.Najiuliza watoto wetu wanweza kuchumbia yule binti wa Msigwa anayeishi Gangilonga?
#Baba-mkwe wanamna hii ?
Alikuwa "insider" na "insider" mwenzake ndio kamchoma. Hayo ndio madhara ya kuwadharau "insiders" wanapoahama vyama.Duh
Ila Ally Mohamed Kibao alikuwa hafahamiki kabisa kwenye Siasa za Chadema 🐼
Anata msaada wa kukunyonya mavUnataka tukusaidieje mleta mada?
muda utaongeaBoni kampigisha shoti kamanda mwenzake, halafu msibani yuko viti vya mbele
Mkuu sitaki mazoea na hizo nyoka aseeNdio maana mimi sitakagi mtu yeyote aitwe Mchungaji wala padre akanyage kwangu na wala sihitaji mazoea hata kwa Wanangu.
Hahaha......hebu tazama kama huyu aliyekuwa Mchungaji Msigwa.....ina maana kukosa tu Ushindi amegeuka shetani. Ilo wapi ile Imani na mafundisho ya Samehe 7 mara 70?.Mkuu sitaki mazoea na hizo nyoka asee
Mzee alimwambia Toto Tundu juu ya uwepo waa pesa za dully sykes ndani ya chama cha kombatiKwa hiyo ccm serekali na tiss yao wanaamini Mzee kibao ndo alikuwa strategist wa kupindua serekali
Huu uoga usio na uhalisia ni wa kijinga sana
Hii mbona Lissu anaibadili sasa.Nimekutana na message kwenye Whats App kwamba Msigwa ndiye aliyemlipua Mzee Kibao eti kuwa ndiye strategist wa Chadema kwenye mikutano yake ye hivi karibuni. Kama ni kweli hivi Msigwa atakuwa anajisikiaje huko aliko? YUDAS ISCARIOT!
PIA SOMA
- TANZIA - Dar: Ally Mohamed Kibao, kiongozi wa chadema auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana