SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Kasi ya kutekwa na kuuliwa kwa viongozi wa Chadema imeongezeka baada ya Msigwa kununuliwa huko CCMMsigwa atakuwa amepeleka taarifa nyingi sn na ni mhusika wa haya mauaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kasi ya kutekwa na kuuliwa kwa viongozi wa Chadema imeongezeka baada ya Msigwa kununuliwa huko CCMMsigwa atakuwa amepeleka taarifa nyingi sn na ni mhusika wa haya mauaji
Lile papaiLucas gani, Mwashambwa? Yule headless chicken?
Amewaogopa hao waropokaji wasingemuacha salama huyo Heche ngumi mkononi kwa nini usimuogope..Msigwa amesema yeye adui yake Chadema ni MKiti tu. Rafiki zake ni Lissu na Heche.
Dadeq, wahusika wote wapinde midomo.Napendekeza familia ya Marehemu Kibao wasome kurjuan huyu tumbili msigwa naye limkute la kumkuta
Ndio alikuwa mpikaji na Msigwa kawasanua ccmDuh
Ila Ally Mohamed Kibao alikuwa hafahamiki kabisa kwenye Siasa za Chadema 🐼
Tulia uandike vitu vinavyoeleweka. Hata hili jibu lako umeandika kwa papara. Unaweka nukta pasipostahili. Hueleweki.Kuna wakati ili kukuza Ufahamu Majibu hutokana. Na maswali utakayoulizwa!
Stress zikizidi huleta depressionKwa hiyo ccm serekali na tiss yao wanaamini Mzee kibao ndo alikuwa strategist wa kupindua serekali
Huu uoga usio na uhalisia ni wa kijinga sana
Kumbe ndio sababu, KARMA si utani ni suala la muda tu. Wakiwamaliza wale watarudi kwao, alichofanya kitamtafuna maisha yake yote.Nimekutana na message kwenye Whats App kwamba Msigwa ndiye aliyemlipua Mzee Kibao eti kuwa ndiye strategist wa Chadema kwenye mikutano yake ye hivi karibuni. Kama ni kweli hivi Msigwa atakuwa anajisikiaje huko aliko? YUDAS ISCARIOT!
View attachment 3091632
PIA SOMA
- TANZIA - Dar: Ally Mohamed Kibao, kiongozi wa chadema auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
Inasemekana inasemekana..acha uchakubimbi
Na strategist wa upinzan anapaswa kuuawa!?..kipi kinaonesha kuuawa kwa mzee aliy kulitokana na kuwa strategist wa chadema?Kamsema kwenye Jukwaa la Sauti ya Watanzania kama yeye ndiye strategist wa Chadema. Nenda You Tube utamsikia.
Naamini kuanzia mwanzo umeelewa!Tulia uandike vitu vinavyoeleweka. Hata hili jibu lako umeandika kwa papara. Unaweka nukta pasipostahili. Hueleweki.
Pia siyo “hutokana”
Jibu swali kama una jibu. No need for more speculations.
Na strategist wa upinzan anapaswa kuuawa!?..kipi kinaonesha kuuawa kwa mzee aliy kulitokana na kuwa strategist wa chadema?
Someone Anipe hiyo Link ya Youtube aliyomtajaWaulize waliofanya hilo .... Na kwa nini auawe siku chache tu baada ya Msigwa kumtaja? Wengi hatukuwa tunamjua huyu Mzee .... Msigwa akaamua kumuingiza kwenye anga za Wasiojulikana.
Nakuulizeni nyie mnaodai msigwa kamchoma,wauaji hawakujua kuwa aliy ni strategist wa chadema mpaka msigwa amtaje?..na nini kimekuthibitishia kuwa kauawa kwa sababu za kisiasa?Waulize waliofanya hilo .... Na kwa nini auawe siku chache tu baada ya Msigwa kumtaja? Wengi hatukuwa tunamjua huyu Mzee .... Msigwa akaamua kumuingiza kwenye anga za Wasiojulikana.
Huwez kupewa maana ni uzushiSomeone Anipe hiyo Link ya Youtube aliyomtaja
Hao watekaji waliokua na bunduki zitumiwazo na usalama wa taifa,walihitaji taarifa toka kwa msigwa kuwa aliy alikua strategist wa chadema ndiyo waruke nae?.. wengine wanadai kuna orodha oyster bay ya wanaopaswa kuuawa,tushike lipi,kuna orodha au watekaji wanasubiri kutonywa?Someone Anipe hiyo Link ya Youtube aliyomtaja
Wala msihuzunike, aliyeiweka hataishi milele kama kiongozi wa nchi, hata wewe unayeiona ni sheria mbaya unaweza kuwa Kiongozi na ukaionmdoa mara moja, wacha yatokee ili tujue uhalisia wao mbona haya yaliyotokea ni huruma ya Mungu kutaka kutuonyesha tuliowaamini wapo vipi kwenye mioyo yaoHii Sheria mpya ya salama wa taifa kupewa nguvu ya kisheria kuua yeyote bila kuwaijibika itatupa shida tuenako