Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
- Thread starter
-
- #21
Ndio maana nilitaka kamba ili nikaze but mkuuPole sana Mkuu. Mimi kamba ninayo ila naogopa nisije kuwasaidia jamaa katika hilo unalokusudia kulifanya. Kaza buti na mwisho utafanikiwa tu.
Ndio kawaida huku, mara nyingine tunaonekana tunaringa kumbe watu tunaona majukumu yaliyopo yanatoshaHuku ni kutafutana ubaya tu
Kinachouma hao ndugu wa pembezoni wakijipata hata kupitia wewe wanahangaikaga na familia zao sio wewe tena .Ndio kawaida huku, mara nyingine tunaonekana tunaringa kumbe watu tunaona majukumu yaliyopo yanatosha
Kwani lazima kwenda kwenye hivo vikao vya familia?Ukiacha kufanya majukumu ya mtoto wa kwanza kuna atakaye ichukua nafasi yako. Utagundua hilo wakati wa vikao vya familia.
Yule anayebeba majukumu ndiye anayesikilizwa, ndiye anayeheshimiwa, ndiye mwenye sauti pengine kuliko ya baba sema heshima hufata mkondo wake, ndiye anayeamua wawe na familia ya aina gani. Ndiye anayeamua identity na heshima ya familia kwenye jamii inayomzunguka.
Unaposikia familia ya Mengi au Familia ya Ongala, au Familia ya Kikwete, au Familia ya Osea, ile heshima ni matokeo ya kazi zilizofanywa na wazazi na uzao wao.
Haka ni kautaratibu ka watanzania tu bila shaka😂Nilikuwa nasoma sehemu nikakuta kuwa watoto wa kwanza wanalalamikia kuwa "Makamu Mzazi". Yaani ni mtoto anayekabidhiwa jezi kabla mchezo hajauelewa. Mtoto wa kwanza anatarajiwa kulea wadogo zake na wazazi wake at the same time. Nadhani ukiona mtu amekomaa kimawazo, unauliza tu "Hivi wewe ni mtoto wa kwanza eekh"
Kwenye jamii ni ngumu kujua mtoto wa kati, ila wa kwanza na wa mwisho ni rahisi kumbaini. hivi hili suala la mtoto wa kwanza kuwa mzazi ni dunia nzima au ni bongo tu?
Mimi kwetu ni wa kwanza, aisee, naombeni mwenye kamba aniuzie kwa bei yeyote, nina kazi nayo
Hapana. Unaweza pia usiende. Mfumo wa maisha ni maamuzi binafsi. Ni wewe tu kupima, familia yako ina watu wa aina gani? Nisipojihusisha nao napoteza nini? Nina mbadala wa uwepo wao?Kwani lazima kwenda kwenye hivo vikao vya familia?
Kama mama akoWatoto wa ZINAA mna tabu sana
Ili ufanikiwe kwenye maisha jitoe ufaham tu. Potea miaka miwili hiv uoneMajukumu ni ngumu kuyaacha, ila nawaza namna ya kubadili utaratibu. Yaani mtoto wa kwanza unapewa majukumu mazito, wakati mwingine uko mtoto unaambiwe, "wewe ndio mkubwa", "Una wadogo zako" haya yote ni kukufanya uone tayari uko uwanjani.
Ukishaingia uwanjani ndio kimbembe kabisa, hadi mtoto wa shangazi unaletewa umuangalie wewe. Heshima unayopata ni ile tu "Huyu ndio atatuzika" yaani nazika mtu wakati mwenyewe sielewi dah
Bro mbona mzee wa hivyo ni mbabu sana atakushauri nini huyo maana hata smart phone sidhani kama anaijuaNa tabia nyingine inayokera umeshakua mkubwa una maisha yako ila mzazi wako anakushikiria kutaka kukupangia kila kitu hasa wazee waliozaliwa kabla ya utawala wa Hayati Mwinyi.
You're very smart! Umeruka viunzi. Hongera sana Mkuu.Ndio maana nilitaka kamba ili nikaze but mkuu
Ndivyo ilivyo...