Hivi hiki ndicho Kiingereza cha Profesa Ndalichako?

 
Tangu tupate viongozi wa kisiasa wasipjua Kiingereza kutomuda lugha hiyo lumepata watetezi wengi kweli kweli.


Toa mifano hai minne tu ya hao watetezi wasiojua kiingereza!!
 
Hapo kuna tatizo gani madam?Ninavyofahamu kitaalamu tunavyozungumzia pesa maneno hundred,thousand,na million hayabebi wingi.Naomba kueleweshwa zaidi
One hundred and fifty million TZS.Kilikuja na meli. Pale Udsm mwalimu anaongea Kinge akiwa darasani tu. Mkitoka nje ni kiswahili mpaka nyumbani. Mtu Kinge anaongea asilimia 3 ,Kiswahili asilimia 97.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo kuna tatizo gani madam?Ninavyofahamu kitaalamu tunavyozungumzia pesa maneno hundred,thousand,na million hayabebi wingi.Naomba kueleweshwa zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni hivi yeye kaongea kingereza halafu amount akataja kiswahili. Mimi ndo nimeitafasiri kwenda kingereza.Prof alisahau kusema million 150 kwa kingereza ?
 
Mungu ameamua kumuumbua makusudi huyu mama alijikweza Sana Sasa ameshushwa na hatathubutu kujimwambafai mbele ya wanafunzi wa English medium wanaokipiga kingenge vizuri // mama waziri umeumbukaaaaaaaaaaaaaa hujui kingerezaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Hizi ni sentensi mbili zenye maana moja
1.hey my fellow bagamoyo villagers you have done me good things i will not forget.
2.I feel indebted by the cooperation of bagamoyo residents

Prof tulitarajia hiyo sentensi ya pili .mpoki hiyo ya kwanza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ebu tuambieni makosa mliyoyaona maana nashangaa mnasema kingereza cha prof tatizo mmeliona wapi matamshi, sentensi, maneno au wapi maana watu wanashadadia tu pasipo kusema kakosea wapi

Kumbukeni mama kingereza inaweza kuwa lugha yake ya tatu jifunza, ya kwanza kwa umri wake inaweza kuwa kiha, akaja kiswahili kisha akaja kingereza kwaiyo msitegemee mama akawa na matamshi mazuri kama mzungu

Kiukweli sijaona tatizo katika kingereza chake maana sentensi zake zinaeleweka, misamiati yake ina eleweka, sema tu sio mahiri yani hana ile floo ambayo wengi mlitaka muione
 

Mfano mzuri marehemu Ali Mufuruki: alisomea Ujerumani na alikuwa akiongea kiingereza kizuri sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…