Mbona kajitahidi sana kuongea kizungu, tatizo ni mifumo yetu ya elimu ni mibovu, watoto tunapokuwa nyumbani ni kiswahili kwa kwenda mbele, tukifika shuleni (sekondari) ni kiswahili kwa kwenda mbele tukiingia darasani ni Kiswanglish (kiswakinge) kwa kwenda mbereee, sasa ni lini tunaweza kuwa good at English??![emoji1787]
Ukiweka "and" hapo utakuwa unatafsiri ile "na" ya kiswahili kwenda kiingereza.
Unapoandika 150,000,000 in english, unaruhusiwa kuandika "and" kama hujui kiingereza.[emoji1787]
Nilitaka kujua tuu kama emoji inamaanisha utani au vipi.Hapana, sina maana hiyo, maana yangu elimu ni furaha tu wala sio uadui. Ndiyo maana mimi ni mtu wa furaha tu,[emoji1787][emoji1787]
Nachokiona humu ni kwamba watu hushindwa kutofautisha kati kutojua kiingereza na kushindwa kuongea vizuri kiingereza,matatizo yetu ni kushindwa kuongea vizuri kiingereza na matatizo haya hayapo Tz tu na ndiyo maana nasema mfumo wa ufundishaji kiingereza duniani kote ni mbovu.Kujifunza lugha kwa urahisi ni kwanza kuizungumza hiyo lugha, sisi Watz, nyerere alituharibu, yeye alikuwa anajua kiingereza na hakutaka watz wengi tujue kiingereza kwa sababu Kiingereza kilibeba elimu nyingi hivyo tungeerevuka, kwani kumtawala mjinga ni rahisi kuliko mwerevu lakini kumuongoza mwerevu ni rahisi kuliko mjinga, alijua hilo.
Hayo ni maoni yangu, niko huru kusahihishwa.
Ni ngumu kuelekezana na mtu ambaye hajastaaribika kama wewe.
Lengo la lugha ni nini? Nadhani unaifahamu ni kukamilisha mchakato wa Mawasiliano.
U fluent in English unamsaidia nini Prof. Wa Mathematics ?
Engineer u fluent in English unamsaidia nini ?
Acha kujaza matope kichwani mwako.
Mtu mmoja huna chochote wala lolote unajifanya nyuma ya keyboard na unaeza kuta kiingereza hicho pia hujui.
Hakuna haja ya kukosoana kwa lugha zilizokuja na meli.
She is reasonably right !
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda umestaarabika kwenye ujinga... Waziri wa elimu anapaswa kuonesha mfano na kujipambanua anapoongea,akialikwa kutoa mhadhara kimataifa ndio ataongea hivyo? Watu watamzingatia? Nchi hii elimu ni kwa kiingereza iwapo umesoma unapaswa kukijua vyema kuandika na kukiongea ustuletee janjajanjaNi ngumu kuelekezana na mtu ambaye hajastaaribika kama wewe.
Lengo la lugha ni nini? Nadhani unaifahamu ni kukamilisha mchakato wa Mawasiliano.
U fluent in English unamsaidia nini Prof. Wa Mathematics ?
Engineer u fluent in English unamsaidia nini ?
Acha kujaza matope kichwani mwako.
Mtu mmoja huna chochote wala lolote unajifanya nyuma ya keyboard na unaeza kuta kiingereza hicho pia hujui.
Hakuna haja ya kukosoana kwa lugha zilizokuja na meli.
She is reasonably right !
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo jamaa mwenye kaunda yaani anataka kupasuka kwa kicheko.Halafu huyo bro mwenye kaunda anataka kucheka. Ndiyo maana nashauri tusome kwa kiswahili hadi PhD. Ila kofia ilivyokaa.
Labda umestaarabika kwenye ujinga... Waziri wa elimu anapaswa kuonesha mfano na kujipambanua anapoongea,akialikwa kutoa mhadhara kimataifa ndio ataongea hivyo? Watu watamzingatia? Nchi hii elimu ni kwa kiingereza iwapo umesoma unapaswa kukijua vyema kuandika na kukiongea ustuletee janjajanja
Nilitaka kujua tuu kama emoji inamaanisha utani au vipi.
Ila kwa kuwa sio utani nikwambie tuu, UK English inatumia "and" lakini US English ndio wamekuwa waki omit hiyo "and".
Kwa hiyo hakuna makosa yoyote kwenye kutumia 'And'. Rudi library kasome.
Pia unasema 'and' inatumiwa na wasiojua kingereza, ukiwa unamaanisha " UK" hawajui kingereza sio?
Ninyi ndio mnaizorotesha nchi kwa kutetea kila ujinga... hii ni dalili nyingine kuwa elimu yetu haikosawa mahali!! Mwalimu wa chuo (prof.) hupaswi kushindwa kuongea kiufasaha!! Akifanyiwa interview kazi kimataifa atapenya?? Mnaleta ukijani hadi kwenye elimu hku ukijigamba umestaarabika!! Soma vyema mtoamada amehoji nini...I doubt na argue na mtu ambaye mkondo wake wa kufikiri haupo sawasawa, kuwa waziri wa elimu na kiingereza kuna uhusiano gani?
Kutimiza majukumu yake kama waziri na kiingereza kuna uhusiano gani?
Kama ni kikao popote pale anaweza akazungumza hata kiswahili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Two hundred twelve million, four hundred fifty-six thousand AND six hundred forty-five. UK style.Hebu madam, andika hizo tarakimu in English.
212,456,645.
Two hundred twelve million, four hundred fifty-six thousand AND six hundred forty-five. UK style.
Tatizo la maprofesa wanapokuwa mbele ya hadhira hudhani U-profesa ndiyo unaoongea kumbe sivyo!Hapa Waziri wa Elimu, Profesa Ndalichako akitoa maagizo ya kukamatwa Mhandisi Mchina.
View attachment 1315270
Sent using Jamii Forums mobile app
Blaza huyu Paula nikama unamzungukia kwa mbali sana etii....Mbona in Uk style katika 212, hapo hukuandika two hundred and twelve--, hiyo "and" hapo mbona umeiacha?? Kwa nini?? Kumbuka ile I50,000,000, ulisema in Uk style and inawekwa kwenye 150.
Mbona sijaona tatizo lolote hapo, ameongea vizuri tu kingereza kinachoeleweka.
Mbona in Uk style katika 212, hapo hukuandika two hundred and twelve--, hiyo "and" hapo mbona umeiacha?? Kwa nini?? Kumbuka ile I50,000,000, ulisema in Uk style and inawekwa kwenye 150.
HahaaaYaani anaongea hadi anatokwa na jasho huku akitafuta visentensi viwili vya Kiingereza
Madam Victoire note that Americans do not say "and" when speaking numbers. For example 150 would be pronounced "one hundred fifty" and most British-English speakers would pronounce it "one hundred and fifty" kwahiyo Madam Prof. Yuko sawa kabisa hajakosea, by the way unaonekana wewe ni American-English speaker.One hundred and fifty million TZS.Kilikuja na meli. Pale Udsm mwalimu anaongea Kinge akiwa darasani tu. Mkitoka nje ni kiswahili mpaka nyumbani. Mtu Kinge anaongea asilimia 3 ,Kiswahili asilimia 97.