Hivi hiki ndicho Kiingereza cha Profesa Ndalichako?

Hivi hiki ndicho Kiingereza cha Profesa Ndalichako?

Eti good at English.
Hahahaha
Mbona kajitahidi sana kuongea kizungu, tatizo ni mifumo yetu ya elimu ni mibovu, watoto tunapokuwa nyumbani ni kiswahili kwa kwenda mbele, tukifika shuleni (sekondari) ni kiswahili kwa kwenda mbele tukiingia darasani ni Kiswanglish (kiswakinge) kwa kwenda mbereee, sasa ni lini tunaweza kuwa good at English??![emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiweka "and" hapo utakuwa unatafsiri ile "na" ya kiswahili kwenda kiingereza.

Unapoandika 150,000,000 in english, unaruhusiwa kuandika "and" kama hujui kiingereza.[emoji1787]
Hapana, sina maana hiyo, maana yangu elimu ni furaha tu wala sio uadui. Ndiyo maana mimi ni mtu wa furaha tu,[emoji1787][emoji1787]
Nilitaka kujua tuu kama emoji inamaanisha utani au vipi.

Ila kwa kuwa sio utani nikwambie tuu, UK English inatumia "and" lakini US English ndio wamekuwa waki omit hiyo "and".
Kwa hiyo hakuna makosa yoyote kwenye kutumia 'And'. Rudi library kasome.

Pia unasema 'and' inatumiwa na wasiojua kingereza, ukiwa unamaanisha " UK" hawajui kingereza sio?
 
Kujifunza lugha kwa urahisi ni kwanza kuizungumza hiyo lugha, sisi Watz, nyerere alituharibu, yeye alikuwa anajua kiingereza na hakutaka watz wengi tujue kiingereza kwa sababu Kiingereza kilibeba elimu nyingi hivyo tungeerevuka, kwani kumtawala mjinga ni rahisi kuliko mwerevu lakini kumuongoza mwerevu ni rahisi kuliko mjinga, alijua hilo.

Hayo ni maoni yangu, niko huru kusahihishwa.
Nachokiona humu ni kwamba watu hushindwa kutofautisha kati kutojua kiingereza na kushindwa kuongea vizuri kiingereza,matatizo yetu ni kushindwa kuongea vizuri kiingereza na matatizo haya hayapo Tz tu na ndiyo maana nasema mfumo wa ufundishaji kiingereza duniani kote ni mbovu.
 
Ni ngumu kuelekezana na mtu ambaye hajastaaribika kama wewe.
Lengo la lugha ni nini? Nadhani unaifahamu ni kukamilisha mchakato wa Mawasiliano.
U fluent in English unamsaidia nini Prof. Wa Mathematics ?
Engineer u fluent in English unamsaidia nini ?

Acha kujaza matope kichwani mwako.

Mtu mmoja huna chochote wala lolote unajifanya nyuma ya keyboard na unaeza kuta kiingereza hicho pia hujui.

Hakuna haja ya kukosoana kwa lugha zilizokuja na meli.

She is reasonably right !

Labda umestaarabika kwenye ujinga... Waziri wa elimu anapaswa kuonesha mfano na kujipambanua anapoongea,akialikwa kutoa mhadhara kimataifa ndio ataongea hivyo? Watu watamzingatia? Nchi hii elimu ni kwa kiingereza iwapo umesoma unapaswa kukijua vyema kuandika na kukiongea ustuletee janjajanja
 
Halafu huyo bro mwenye kaunda anataka kucheka. Ndiyo maana nashauri tusome kwa kiswahili hadi PhD. Ila kofia ilivyokaa.
Huyo jamaa mwenye kaunda yaani anataka kupasuka kwa kicheko.

Kakizuia muda mrefu sana na nadhani kama prof angeendelea kuzungumza kwa angalau dakika 3 mbele basi jamaa angepaliwa na kicheko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I doubt na argue na mtu ambaye mkondo wake wa kufikiri haupo sawasawa, kuwa waziri wa elimu na kiingereza kuna uhusiano gani?
Kutimiza majukumu yake kama waziri na kiingereza kuna uhusiano gani?
Kama ni kikao popote pale anaweza akazungumza hata kiswahili.
Labda umestaarabika kwenye ujinga... Waziri wa elimu anapaswa kuonesha mfano na kujipambanua anapoongea,akialikwa kutoa mhadhara kimataifa ndio ataongea hivyo? Watu watamzingatia? Nchi hii elimu ni kwa kiingereza iwapo umesoma unapaswa kukijua vyema kuandika na kukiongea ustuletee janjajanja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilitaka kujua tuu kama emoji inamaanisha utani au vipi.

Ila kwa kuwa sio utani nikwambie tuu, UK English inatumia "and" lakini US English ndio wamekuwa waki omit hiyo "and".
Kwa hiyo hakuna makosa yoyote kwenye kutumia 'And'. Rudi library kasome.

Pia unasema 'and' inatumiwa na wasiojua kingereza, ukiwa unamaanisha " UK" hawajui kingereza sio?

Hebu madam, andika hizo tarakimu in English.

212,456,645.
 
Madam minister is kihiyo no more words to explain her. Listen to her when she is adressibg a public in Kiswahili, you'll come here with the same view. I swear.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I doubt na argue na mtu ambaye mkondo wake wa kufikiri haupo sawasawa, kuwa waziri wa elimu na kiingereza kuna uhusiano gani?
Kutimiza majukumu yake kama waziri na kiingereza kuna uhusiano gani?
Kama ni kikao popote pale anaweza akazungumza hata kiswahili.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ninyi ndio mnaizorotesha nchi kwa kutetea kila ujinga... hii ni dalili nyingine kuwa elimu yetu haikosawa mahali!! Mwalimu wa chuo (prof.) hupaswi kushindwa kuongea kiufasaha!! Akifanyiwa interview kazi kimataifa atapenya?? Mnaleta ukijani hadi kwenye elimu hku ukijigamba umestaarabika!! Soma vyema mtoamada amehoji nini...
 
Two hundred twelve million, four hundred fifty-six thousand AND six hundred forty-five. UK style.

Mbona in Uk style katika 212, hapo hukuandika two hundred and twelve--, hiyo "and" hapo mbona umeiacha?? Kwa nini?? Kumbuka ile I50,000,000, ulisema in Uk style and inawekwa kwenye 150.
 
Mbona in Uk style katika 212, hapo hukuandika two hundred and twelve--, hiyo "and" hapo mbona umeiacha?? Kwa nini?? Kumbuka ile I50,000,000, ulisema in Uk style and inawekwa kwenye 150.
Blaza huyu Paula nikama unamzungukia kwa mbali sana etii....
 
Jaman kuna prof aliambiwa atoe neno la shukrani kwa kampuni flani iliyoleta msaada flani chuo flani tena huyu alikuwa principle wa faculty hayo mashudu aloshusha nilijiondokea
 
Mbona in Uk style katika 212, hapo hukuandika two hundred and twelve--, hiyo "and" hapo mbona umeiacha?? Kwa nini?? Kumbuka ile I50,000,000, ulisema in Uk style and inawekwa kwenye 150.

Mokaze kwenye hii namba uliyoniandikia unaanza kutenga kwa mafungu na kabla ya fungu la mwisho ndio unaunganisha na "and". Hii namba na ya 150M ni vitu viwili tofauti.

Nimesema UK style hamna makosa kutumia and na comma pia. Ila US pia sio makosa, bali utasha mwingi. Na kumbuka mashuleni UK style ndio inatumika ( kama sijakosea).
 
One hundred and fifty million TZS.Kilikuja na meli. Pale Udsm mwalimu anaongea Kinge akiwa darasani tu. Mkitoka nje ni kiswahili mpaka nyumbani. Mtu Kinge anaongea asilimia 3 ,Kiswahili asilimia 97.
Madam Victoire note that Americans do not say "and" when speaking numbers. For example 150 would be pronounced "one hundred fifty" and most British-English speakers would pronounce it "one hundred and fifty" kwahiyo Madam Prof. Yuko sawa kabisa hajakosea, by the way unaonekana wewe ni American-English speaker.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom