BIG STONE AND CONER STONE
JF-Expert Member
- Mar 11, 2023
- 421
- 728
Hee Nishaoneka wa Kuja Tena.. Asante kwa ukaribishao.🙌Umeingia lini mjini Kaka?
Karibu Daslam
Asante ndg Sasa ushauri wako? 😀Karibu sana Daslam ndugu yangu
Mmh ushanitisha Tena!Kakutane nao wakitoka kuamka tu kabla ya kukandika miputi usoni, kope za bandia, kucha feki, nywele za maiti, shepu ya kununua.
Utastaajabu unatongoza Beyonce na kuamka na Bambo.
Ni matunzo tu, manukato dar ni bei rahisi. Mavazi ya kike bwerere kwanini wasimeremete.Hakuna mwanamke mbaya
Kwelie Haya nimeskiaHakuna mwanamke mbaya
😀 Sawa nimeelewa pia matunzo yanamataNi matunzo tu, manukato dar ni bei rahisi. Mavazi ya kike bwerere kwanini wasimeremete.
Na kama ndo mgeni wa jiji ndo kabisaa utasema dar kila dem titi saa 6.
Bangi naewe dogo rudi kijijini tunakutafuta huku vilimo vimeanza.sio kilimo kimeanza unaranda randa mijini kutwa nzima unaangaika na matako ya wanawake.Narudia tena kilimo kimeanza