BIG STONE AND CONER STONE
JF-Expert Member
- Mar 11, 2023
- 421
- 728
Mada Fupi tu maana Kuna mambo mengi ya kufanya pia.
Iko Hivi kuhusu Jiji la Dar es salaam
Mm Naona wanawake wa Dar ni warembo sana. Sure cjui ni macho yangu au nn!.
Kuna Saa unajitahidi hata usiangalie pembeni ukaze macho mbele kama Robot 😎
OK hivi Kuna mkoa mwingne unapiku Dar kwa wanawake warembo, wazuri na wasafi?
Mwisho c Hitaji ushauri.. Una shida ya psychology wala nn
Ni mtazamo wangu nawe pia unaweza ukaona vingne.
Wenye data mkoa unao zidi Dar kwa warembo, wazuri.. weka hapa pls Ila najua hakuna.