Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Wachungaji na wanasiasa kuomba waumini au wananchi wawachangie kununua vitu kama mfano magari au kuwachangia kufanikisha safari zao za kwenda Ziarani nje ambazo nyingine ni mapumzikoni tu .
Au kufanikisha mambo ambayo ni faida yake binafsi au mambo kama pesa ya Mwenge /ujenzi wa shule mambo ambayo Serikali inaweza gharamia
Unakuta walengwa ni watu ambao hata kula yao tu shida.
Tuitaje hili? Kibaya zaidi anachangiwa mtu mwenye uwezo mkubwa tu wa kifedha.