Hivi hili ni ubinafsi uliopitiliza au tuitaje? Lipo sana kwa wachungaji na wanasiasa

Hakuna ubaya, kqmq pesa, IPO, we, ambae huna utaona shida, sasa Mungu kakubariki una ukwasi wa, kutosha, kutoa pesa, ili mchungaji apate Prado, au mwanasiasa apate v8, hakuna ubaya,
 
Tuonyeshe mahali ulipokemea Samia kuchangiwa hela ya kuchukua fomu wakati uwezo anao.
 
Daaa hii hatari
 
Umeandika kama akili zako,ajabu unakuta kuna watu wanakuheshimu
 
Kuna mmoja eti alichangiwa fomu ya kugombea urais πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hivi mbona akili zako zanadanki danki, unajua ulichoulizwa kweli πŸ˜‚πŸ˜‚
we ndie mwenye marking scheme sio?

itakua unasahihisha maswali ya paper original, kwa marking scheme yenye majibu fake, utapata tabu sana 🀣
 
..viongozi wa Ccm ndio kupe wanaonyonya damu, na kuitafuna nchi yetu.

..majuzi wabunge wa Ccm wamepitisha sheria ya mafao na pensheni kwa wake na waume wa viongozi wakuu.

..kwamba hata Baba Abduli naye anastahili mafao mkewe akistaafu. Hivi ni nani amewahi kumuona Baba Abduli?
 
Ni katika kujaribu ni namna gani wamewakamata vilivyo wafuasi wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…