majebsmafuru
JF-Expert Member
- May 1, 2017
- 454
- 636
Ni maswali wanajamii wajiulize hasa wale wanao amini Ukristo, tumeshuhudia kina nabii Bushiri/Kakobe/TB Joshua, Lwakatare, yule wa Dodoma, Mwingira, Mzee wa Upako, Gwajima, Massanja, Flora, wale walevi Afrika Kusini n.k. n.k.
Ukija KKT au Katoliki ni michango, kutengana na ubadhirifu wa sadaka kwenda mbele. Hivi kwanini wanaidhihaki hii dini?! Kwa Waislamu kesi hizi ni chache, wao na mtume wao poa tu, mdogo mdogo, ila Wakristo ni vituko kukicha tazama ya hawa USA sasa.
Worshippers take assault rifles to church as they vow to protect US gun laws Worshippers take assault rifles to church as they vow to protect US gun laws.
Toka lini dini za amani zikahusisha kubeba silaha za kivita Kanisani? Kama siyo kujaribiana na hata watoto wetu tunaowabambika hizi dini kuanza kutuuliza kama kweli Imani zetu zina mshiko au la? Kunani lakini?